Namna nilivyoweza kuacha POMBE, na kuamua starehe yangu iwe MSOSI

Namna nilivyoweza kuacha POMBE, na kuamua starehe yangu iwe MSOSI

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Habar za muda huu, ndugu zangu wana JF.

Kama tujuavyo tuliowengi ikifika mwishoni mwa mwaka...tunakwaida ya kujitathmini yale tuliyoyafanya kwa kipindi cha mwaka mzima. Katika nyanja ya mafanikio, uzembe/jitihada tulizozifanya katika kutimiza malengo tuliojiwekea.

Sasa katika kujitathmini, nikagundua...karibu 60% ya kipato nikipatacho kinaishia kwenye gambe. Nilisikitika nikajiona ni mjinga wa kujitakia.

Nikaamua kuweka nadhiri kwamba ifikapo 2021, niachane kabisa na habar za ulabu , nihamie kwenye starehe ambayo itakuwa cheaper kuliko pombe kwa namna moja au nyingine isilete matokeo mabaya katika maisha yangu.[emoji4]

Baada ya kutafakari kwa kina...nikaona nihamie kwenye msosi...yani vile vyakula vyote ambavyo vinafurahisha nafsi yangu ndio iwe starehe yangu pendwa.

Aisee since January kuanzia nyumban kwangu mpaka ofisini ni zaid ya super market achilia mbali misosi ya nje ya home na ofisini.

Kiukweli, natumia kiasi kidogo sana cha pesa na naenjoy sana..siwezi orodhesha vyote lakini hv nisehemu ya vyakula ambavyo havikosi kwenye ratiba zangu za kila siku...[emoji4][emoji847]

1. Kitimoto rosti na ndizi huu mara nyingi ni mlo wangu wa jioni karibuni kila siku...siku ninazokosa ni chache sana, kinachobadilika ni aina ya mapishi tu. J3 inaweza kuwa kavu+ ndizi, J4 ikawa choma, j5 ikawa rost +vegetables, Alh ikawa makange ya ndizi mixed with kitimoto.

2. Mchemsho wa kuku wa kienyeji, Nafikir wale wahudumu wa uhuru bar ni mashahidi katika hili[emoji4]

3. Ugali nyama choma(Mbuzi)...napendelea zaidi nyama iwe ya nundu[emoji39]

4. Birian kila ijumaa huwez nikosa pale moroco kwa mama sakina[emoji4]

5. Wali maini ni chakula changu pendwa pia.

Achilia mbali..Makorosho, ma ice cream ya bakharesa(sio haya ma bolcon ya jerojero)[emoji4], na haya ma fresh juice ndio kila wakati.

Kiufupi since January naishi kama mgonjwa (Maana inaaminika Tanzania hatuli vizuri mpaka tuumwe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

MATOKEO.

Hapa ndio kwenye balaa. Mara ya mwisho nilipima nikawa na kilo 87/88, Jana nimepima nna Kg 96. Nimenenepa haraka mno kwa kipindi kifupi.

Ila kwenye upande wa financially nimeokoa hela nyingi mno.

Sasa ndugu zangu...hii lyf style nimeipenda sana tatizo naona kabisa huko mbele itakuja kuniletea matatizo. Nataman kuanza kufanya mazoezi tatizo huo muda ndio unakosekana

Nakaribisha mawazo yenu wadau. Najua watakaobeza hawakosekani.

[emoji116]
Picha sio halisi ni kwa msaada wa google. Sinaga tabia ya kupiga picha chakula
images%20(28).jpg
 
Honger ila ulikohamia kuna maradhi pia hayo ma ice cream kitimoto jiandae kwa kisukari na obesity mixer kibamia mixer lowa perfomance bed ishi life cheap alafu pombe haiachwi ila unapunguza jiandae kurudi uko
 
Kama una dusko la kueleweka chakula ni option nzuri...

Komaa
 
Mkuu kongole unanishawishi niache gambe gambe lakini nashindwa nina kilo 8...
 
Back
Top Bottom