Namna nilivyoweza kuacha POMBE, na kuamua starehe yangu iwe MSOSI

Sijasoma maelezo zaid ya kichwa cha habari...hongera sana kwa kuacha pombe ila mimi niko sehemu najipongeza kwa kuacha pombe kwa kunywa walau bia mbili kusheherekea wiki mbili za kutokugusa pombe.
Ww ni mlevi bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeamua starch ya kwenye pombe uipate kwenye wali sio, utajikuta umeongeza na ulevi wa unafiki, maana ukiacha ulevi mmoja unaamia kwenye mwingine
Kuna jamaa yetu mmoja kila siku tunaomba kwa Mungu asiache pombe na kuanza Swala tano,sababu tunamjua alivyo mnafiki Swala ikikolea atamiliki majini na ataanza na sisi.
 
Mdogo angu badala ya kuongeza speed ya kutafuta ela unywe vinywaji expensive we unakimbulia kula kula kama mtoto wa kike wa chuo....shame..hapo unachofanya unajijaza tu mimafuta na utakuja ilipia ukiwa hospital....shame...Dili zangu zote nazipata bar kikubwwa ni kunywa kwa ustaarabu
 
Hongera! Ila kwa vyakula, naona umeshaanza kuona matokeo. Kuwa mwangalifu sana na unavyokula, kujiepusha na magonjwa ya uzee kabla ya muda wake.
 
Huwa unaenda wastani wa km ngapi kwa siku mkuu? Maana najaribu kukata kilo kama 10 au 15 kabisa lakini nashindwa.
Huwa nazunguka uwanja wa mpira mara3 mpaka 5 kwa siku. Nataka nitoke kwenye 92kg ikibidi ishuke mpaka 82kg au 78kg hv.
 
Aiseee...Maradhi ya lishe Ni mabaya...Sana...UNENE haujawai kuwa.mzuri
 
Sawa...ni mawazo yako boss, #Haipingwi
 
Yum yum yum.....[emoji39][emoji847]
 
Huo uzito,soon utashindwa kuchakata mbunye,pressure na sukari watakuwa marafiki zako wa kudumu,Corona ndiyo usiombee hutaweza hata kupambana nayo...
 
Huo uzito,soon utashindwa kuchakata mbunye,pressure na sukari watakuwa marafiki zako wa kudumu,Corona ndiyo usiombee hutaweza hata kupambana nayo...
Kila kitu kikizidi kiasi huleta matatizo
 
Hongera sana ila utakapofikisha 150 kg ndio utajua pombe ni dawa
 
ukiweza kukaa mwaka hadi miaka mitano hujanywa njoo tuambie umeacha ila mwezi tu ndugu umepumzika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…