April26 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 1,405 Reaction score 2,147 Feb 26, 2021 #61 Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it. Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana.
Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it. Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana.
puker JF-Expert Member Joined Nov 22, 2018 Posts 1,001 Reaction score 2,010 Feb 28, 2021 Thread starter #62 TheCounselor said: Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it. Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana. Click to expand... Changamoto za kupata kiu ya kupiga gambe naipata sana,ila najitahidi kuepuka mazingira yatakayo nishawishi kunywa pombe
TheCounselor said: Ahsante sana mkuu. Ebu semà hamu ikija how you handle it. Au ulikuwa una tumia kiasi gani maana naona umeacha kirahisi sana. Click to expand... Changamoto za kupata kiu ya kupiga gambe naipata sana,ila najitahidi kuepuka mazingira yatakayo nishawishi kunywa pombe