Namna nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma

Namna nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma

AGAPE BOY

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
194
Reaction score
159
Wakuu nimekuja na uzi huu maalum kwetu vijana tuelezane njia nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma! Naamin hili ni shauku kwa vijana wengi mijini na vijijimi pia na ukizingatia wakati mwingine vijijin hakuna gym spot! So mwenye kufahamu kalibu sana atujuze
 
Tafuta pasi ya mkaa iweke ipate moto kisha choma tumbo lako.

Ila kama wewe unategemea kuwa baba basi wanao wamepata baba bashite sana
 
we pack six mi nafanya makeke nipark ndinga ya gharama!!!!😵😵😵😵😵😵😉😉😉
 
ndio sio six pack
Nop muda mwingine lazma tuboreshe afya na muonekano wetu, na hiyo ni rasilimali ya muhimu sana hata kwenye maisha ya mapenzi! Pesa inaweza kuisha na uliyenae akakukimbia lakin muonekano mzur utadumu na itakuwa chachu ndan ya mapenzi
 
Piga puxhapu za kotoxha daily axubuh na jion[emoji23][emoji23][emoji23]
Nje na push up asubuh piga maji ya moto kias mapema sana then piga kata tumbo epuka kula vyakula vya kazi kubwa usisahau maji mengi piga asubuh na jion kata tumbo seriously two months
 
Mkuu six zina bajeti yake sio kubwa ila sio ya mchezo so chuma ni njia rahisi sana kiongoI
Hebu nieleweshe chuma unapiga vipi kutengeneza six park? Zaidi ya mikono, kifua, trapezium, miguu, tako, na shoulders.
 
Back
Top Bottom