namna nzuri za kujizuia kuwaka tamaa za mwili

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
The home great thinkers,hv kuna namna yoyote m2 anaweza apply ili kupunguza au kuzuia kabisa kuwaka kwa tamaa za mwili ambazo lengo lake kubwa ni kutuangamiza?
 
kumrudia Mungu atakusaidia, maana si kwa nguvu zetu bali kwa ROHO wa Bwana tutashinda
 
Michezo/mazoezi, fanya kazi kwa bidii, kumrudia Mungu, kutojihusisha na ulevi
 
umewahi kusikia kitu kinaitwa 'kundalin yoga'? Hebu google hilo neno ujifunze namna ya kushusha mzuka.
 
funga hata kama huna dini kama mie,mazoezi.....
 
Akili yako na mawazo yako yasifikiri hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…