Namna rahisi ya kuunda engine za magari kienyeji, jionee

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Engine inasukwa mwanzo mwisho kienyeji kabisa hadi inawashwa

, Gari la umeme pia likiundwa kienyeji
 
Hiyo engine ndio hufungwa kwenye hizi gari, na hayo mabodi wameunda wenyewe kwenye workshop kienyeji
 
Apostle Kwadwo anaunda hadi magri ya umeme yasiyotumia engine
 
Ameunda tv yake unaoneza sauti kwa kupiga makofi.Serikali za Afrk zimsapoti kwa kununua magari yake.İngaw gari zake sokoni snatumia mitambo ya kichina
 
Hujaeleweka vyema
kuna tv ambayo ameibuni ambayo unaongeza sauti kwa kupiga makofi, idadi ya makofi ndio volume controler.Nikweli wanaunda injini kakini magari yao ya kisasa wanatumia mitambo ya kichina japo wamepiga hatua ktk R&D ili kukuza African capability.
 
Safi sana, jamaa yuko vizuri
 
kuna tv ambayo ameibuni ambayo unaongeza sauti kwa kupiga makofi, idadi ya makofi ndio volume controler.Nikweli wanaunda injini kakini magari yao ya kisasa wanatumia mitambo ya kichina japo wamepiga hatua ktk R&D ili kukuza African capability.
Sasa ukitaka kupunguza sauti hiyo tv unafanya kitu gani sauti ishuke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom