FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jamaa wamepiga hatua kubwa sanamkuu ngoja nichungulie kideo kwanza halafu narudi
Hujaeleweka vyemaAmeunda tv yake unaoneza sauti kwa kupiga makofi.Serikali za Afrk zimsapoti kwa kununua magari yake.İngaw gari zake sokoni snatumia mitambo ya kichina
kuna tv ambayo ameibuni ambayo unaongeza sauti kwa kupiga makofi, idadi ya makofi ndio volume controler.Nikweli wanaunda injini kakini magari yao ya kisasa wanatumia mitambo ya kichina japo wamepiga hatua ktk R&D ili kukuza African capability.Hujaeleweka vyema
Safi sana, jamaa yuko vizurikuna tv ambayo ameibuni ambayo unaongeza sauti kwa kupiga makofi, idadi ya makofi ndio volume controler.Nikweli wanaunda injini kakini magari yao ya kisasa wanatumia mitambo ya kichina japo wamepiga hatua ktk R&D ili kukuza African capability.
Sasa ukitaka kupunguza sauti hiyo tv unafanya kitu gani sauti ishuke?kuna tv ambayo ameibuni ambayo unaongeza sauti kwa kupiga makofi, idadi ya makofi ndio volume controler.Nikweli wanaunda injini kakini magari yao ya kisasa wanatumia mitambo ya kichina japo wamepiga hatua ktk R&D ili kukuza African capability.
Nahisi unatakiwa upige ngumiSasa ukitaka kupunguza sauti hiyo tv unafanya kitu gani sauti ishuke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukitaka kupunguza sauti hiyo tv unafanya kitu gani sauti ishuke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaunda halafu anatumia mitambo ya kichina?Ameunda tv yake unaoneza sauti kwa kupiga makofi.Serikali za Afrk zimsapoti kwa kununua magari yake.İngaw gari zake sokoni snatumia mitambo ya kichina
ha ha ha magari ya umeme yasiotumia engine?? hujui kuwa mota nayo ni engine ...?? au unajua engine ni mafuta tuApostle Kwadwo anaunda hadi magri ya umeme yasiyotumia engine