Namna sahihi ya kutafsri majibu ya VVU

Siku mbili kabla ya kurudia kupima naye,anatiwa peku tena inasoma -ve,unaungua mazima.

Either utumie Kinga maisha yako yotee or usit_mbe.
 
Shukrani Kwa Elimu Adhiim kwa Umma.!

Ila kidogo Naongezea Hapo Muda wa Kipimo baada ya First Negative ni Mwezi Mmoja sio Miezi Mitatu..

Yaani Unashauriwa Kupima Baada ya Wiki 4 baada ya Majibu ya kwanza ya Negative..

BTW Hongera Sana kwa somo Adhiimu..

Na niongeze kwa Kuwakumbusha Watu tu kuwa Wamuogope Sana mtu Endapo majibu yatamsoma Negative..

Kwa sababu Kwenye Kipindi cha Mpito (kama Alipata Exposure ya HIV) kabla antibodies Hazijazalishwa Kwa wingi mwilini (Na majibu yakasoma Negative) ni kipindi ambacho Wingi wa Virusi kwa Muathirika Huwa Ni mkubwa Sana kuliko Kawaida Yaami Peak ya Viral Load Huwa kubwa sana kuliko Yule majibu yamesoma Positive..

So kuweni waangalifu na Tumia Kinga kwa kila tendo
 
kupimana ngoma hakujawahi kuwa rahisi kiivo jombaa

mdada mwene kipini chake atakuuliza "unataka kunipima kwani tunaoana?"

yule mwingine aliyeblichi pambucha lake utamskia "umenshtukiza baby mi sijajiandaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…