Namna TRA inavyomhujumu Rais wetu mpendwa

Tra ni kikundi cha wahuni kilichojikusanya pamoja ili kujikomba na kutafuta sifa kwa mzee Kipara
 
Hivi wewe hajui kuwa yeye ndiye anayewatuma ? Nawao wanatekeleza tu .
 
anahujumiwa kivipi mkuu. hizi kelele hazisikii?
 
Unaongea usichokijua! Kwani yeye hajawatuma? Ni umbwa tu kama umbwa zingine!
 
Kijana wacha unafki, tokea lini TRA ikamhujum mtawala wa nchi, Rais wako ndo anawatuma waongeze kasi ya kukusanya kodi apate za kukamilisha miradi, za kuwalipa watumishi, za kujilipa mwenyewe+za kupiga cha juu.
 
Janjaruka wewe! Unapigwa matukio yote na wewe umekaa tu🤔 Usiwe Mnyonge kiivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…