Namna tunavyojitengenezea Cholestero Mwilini

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Kwa wanaume wa nguvu, supu ya ngombe, kuku, mbuzi etc. ni muhimu sana kuboresha utendaji kazi mwilini na kujenga taifa kwa ujumla. Ufikifika kwenye hotel na migahawa hasa nyakati za asubuhi imekuwa ni desturi kukukutana na wadau wakijipatia supu za kila aina ikiambatana na pilipili, ndimu/limao, chumvi na chachandu za kila aina. Sasa tatizo linakuja baada ya kumaliza kunywa supu. Hapa ndo kuna shida kidogo. Kutokana na chumvi, chachandu na mwili kupanda joto, utasikia mdau ....mhudumu nipe maji ya baridi, soda ya baridi, bia baridi, juice ya baridi n.k.

Kimsingi haishauriwi kunywa kitu cha baridi baada ya kunywa supu hasa zenye mafuta baada ya kunywa. Hii ni kwasababau kuingiza kitu cha baridi mwilini mara baada ya kunywa supu huletea kutengenezeka kwa solidification ya fat mwilini. Hebu chukulia kwa picha rahisi, mfano unapochukua bakuli lenye supu ya moto changanya na maji ya baridi kutoka kwenye friji........nini kinatokea????? Hii pia ni sawa kinachotokea tumboni mwako. Hii huletea kazi nyingine tena ya ku-break hizo fats bonds into smaller digestibale particles for the second time. Hata hivyo solidified fats sio zote zinaweza kuvunjwa kwa awamu ya pili japokuwa temperature ya tumbo ni ya hali ya juu sana, zingine hubaki kuzunguka na mwishowe kuingia kwenye blood stream. After a longer period of time zinajikusanya na kuanza kutengeneza cholesterole kwenye mishipa ya damu na kwingineko. This will build up into a bigger problem as you grow up in the future

So guys usinywe kimiminika baridi baada ya kunywa supu the moment unapomaliza kunywa supu......stay for at least two to three hours then you may drink your fovourite cold drink.
STAY HEALTH!!!

TAKE CARE!!!!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Thanks for your reminder. .. but isn't easy as you put it. .........gonga mchemsho wa nusu kuku wa moto [emoji491][emoji490][emoji502][emoji502] then maji after next 3 hours [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Chinekeeeee na wahoo for you
 
kwani mafuta yanaingia moja kw moja kwenye mishipa? si nasikia kuna joto balaa mahali huko, ata ukila nyama mbichi itaivia humohumo tumboni, hebu endelea kufafanua mdau
 
kwani mafuta yanaingia moja kw moja kwenye mishipa? si nasikia kuna joto balaa mahali huko, ata ukila nyama mbichi itaivia humohumo tumboni, hebu endelea kufafanua mdau
Utengenezaji wa supu unahitaji nyama yenye mafuta. Kwenye mwili wa mnyama kuna mafuta ya aina mbili, inayoyeyuka kwa urahisi na ambayo haiyeyuki kwa urahisi (hata kama ukiyeyuka baadaye hutengeneza solidification tena). Na utengenezaji wa supu hutegemea mixture ya mafuta ya aina mbili. Kama ni mpenzi wa supu jaribu kuangalia utaona droplets (in circle form) ya supu ambayo inayeyuka kwa urahisi ni nzuri na digestable kwa urahisi mwili wa binadamu. Kwa upande wa pili utaona mabonge white in solid state ambayo haijayeyuka ijapokuwa imepikwa, kama supu ina concentration kubwa ya haya mafuta si nzuri kiafya. Ni kweli room temperature ya tumbo ni kubwa sana kucontrol digestion process lakini too much accumulation of digested small fat particles in blood stream baada ya muda mrefu hujikusanya na kupunguza flow ya blood na huanza kutengeneza tatizo
 
Supu ya kuku na samaki ndo more SAFE ukilinganisha na ng'ombe, kondoo na mbuzi sababu mafuta yake ni kimiminika rahisi ambayo haigandi even after sometime. Hata size ya fat droplet ni ndogo ukilinganisha na wanyama wengine ambayo hurahisisa digestion process na hatimaye kuingizwa kwenye blood stream
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…