Namna Wakenya wanavyoabudu Wazungu

Kama kawaida yao kushoboka [emoji23][emoji23][emoji23] hivo hivo walishobokea mchina akawapapasa balaa
 
Iyo katiba inawasaidia nn? Huo uchumi unawaidia nn? Elimu ipi bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23] maisha yapi bora hayo.

Hivi mpaka makamo hayo ya mvi matakoni bado hujui umuhimu wa Katiba,Maendeleo na Elimu Bora?

Una tofauti gani na funza?

Katiba ni defacto supreme law of the land ambapo madaraka na nguvu na wajibu wote wa watawala na watawaliwa yanatoka!

Sasa hujui umuhimu wake na Kenya wanafaidika vipi na katiba yao?Hujui hilo?

Hujui umuhimu wa uchumi mkubwa na uchumi functional?Hujui?

Umuhimu wa Elimu Bora huujui?Hujui EA Kenya elimu yake na mapower ya watu wake ndio ya quality ya juu kuliko shitholes wengine wote?Hujui hilo?

Na hujui hayo yote yanaletwa na nini?Unadhani yalishuka na mvua?

Ulipita sekondari kweli wewe?Ulisoma soma la Civics kweli?

Mambo yenu ya dini ni yenu.Na pia uhuru wa kuabudu ni basic right.Mtu akiamua kuabudu mavi aabudu!Akiamua aabudu shetani au mungu aabudu!Akiamua kutoamini dini kama mimi asiabudu chochote!

Ndio uhuru huo!Alimradi hakuna mtu anapata maumivu au abuse ya kibinadamu!

I pity you!You are so useless and you waste space!
 
Useless people heavy drinking
 
Elimu ipi hiyo bora ya kenya au nyie ndo wale mliaminishwa mkifundishwa kwa kingereza ndo elimu inakuwa bora, alafu katiba ukibadilisha yako ya nyumbani inatosha [emoji23][emoji23][emoji23]au ni hizo story za vijiweni, everything thing in kenya is fake,
 
shame on you kenyans
 

Unaona sasa?!

Kumbe una chuki binafsi na jirani aliekupita!

Basi akili yako haifai kujenga mjadala wenye tija maana tayari upo emotional na chuki binafsi!

Ondoa chuki binafsi,ondoa emotions,then njoo mezani na hoja!

Nachoona unabishana na takwimu rasmi.

Unabishana na World Bank ,IMF,UN statistics,unaamini takwimu zako binafsi kwenye ubongo wako binafsi!

Which is okay,therefore unaweza ukabishana na ubongo wako binafsi!

Hujui Kiingereza,Kiswahili pia hujui sawasawa ndio maana umeandika comment yako kwa makosa mengi ya kiuandishi na pia paragraphing hujui.

The worst thing ni kwamba utakua hujui hata lugha ya kabila lako mwenyewe!

Wewe kama una chuki binafsi na Kiingereza,ni yako wewe!Usichukie wanaojua au kujifunza Kiingereza,jichukie mwenyewe!

Mimi watoto wangu wanajifunza lugha yao ya asili Kichagga,wanajifunza Kiswahili na pia wanajifunza Kiingereza kwa juhudi.Na ni fluent kwa all three!

Wewe kama unachukia mwenye kujua Kiingereza,its your own problem!

Na infact sidhani kama unawachukia wanaojua Kijerumani,Kifaransa au Kichina au Kizullu?Sidhani

Umeona uchukue Kiingereza ukichukie na wazungumzaji wake sababu wewe una wivu sana umejitahidi kukijua na kukiongea ulishindwa!

Punguza wivu!
 
Hii insha ungeandika shuleni ungekua mbali sana.
Chuki zako na serikali bakiza huko huko.
Mm pia Nazungumza kichagga, kiswahili, kingereza na kifaransa

 
NIMEAMINI HUJUI UISLAM WW.
UNAJUA KISA CHA WALE WATU KULETA UGOMVI???
NI KWASABABU MTUME MUHAMMED ALITUKANWA KWA KUCHORWA VIKATUNI KUWA NI MBAKAJI.
HAIHUSIAN NA KUMUABUDU.
SIJAMDHARAU MTU MM THEN HUNA ULIJUALO KTK UISLAM SISI TUNAMUABUDU ALLAH SIO MUHAMMED.
SISI SIO WAJINGA KAMA WAKRISTO KUMUABUDU MJAMBAJI MWEZETU.
HAO FRANCE WALIANDAMANA KWASABABU YA MTUME KUTUKANWA HAIHUSIAN NA IBADAH.
MENGINE KUSEMA SIJUI KUBAKWA MTWARA SIJUI WAPI NAONA UNAROPOKA SANA HUUJUI UISLAM SHUT THE F""K.
 
Lol [emoji23]. Sacrilegious as usual.
Nyie wanasayansi mmefika wapi na ile nadharia ya mageuzi. Any new discoveries?

Jeni

Discoveries ni kibaooo!

Achana na dini na Mungu na Shetani,ni uwongo wote hao hawapo!

Mnateseka tu bure masikini!
 
naona sasa magugu na ngano vimejitenganisha sasa tupepata kujua kati yetu nani ni zwazwa na nani ni mwerevu,naona wenzetu wamefanikiwa katika uzwazwa
 

Sina haja ya kuujua uislamu, na haunihusu wala chochote, na sitamani kabisa hata kuufahamu maana unasababisha maafa kila siku, ninachokifahamu haukuwepo Afrika kabla waarabu hawajaja kuwabaka waafrika kule pwani na kubeba mababu zetu watumwa. Na leo ndio chanzo cha mabomu kote kote mnajilipua mkitaka kulazimisha watu waabudu hao miungu wa kwenu akina Mudi.
Sasa unadiriki kumcheka mwafrika mwenzako kisa naye ameabudu kituko kama unavyofanya kwa mudi.
 
Hii insha ungeandika shuleni ungekua mbali sana.
Chuki zako na serikali bakiza huko huko.
Mm pia Nazungumza kichagga, kiswahili, kingereza na kifaransa


Then kwanini uwe na chuki na wanaojua Kiingereza zaidi yako?

Na kwanini uchukie nchi iliyoendelea zaidi yako?

Kenya akiendelea hakuzuii Tanzania kuendelea!

Hiyo clip uliyoniwekea hapo ni wimbo wa kampeni!

I dont take Jiwe serious on anything,sembuse nyie wapiga pambio wake?

Kwangu mimi binafsi,Jiwe ndio the worst ever and I have my reasons!

Wewe unamuona ni best,na you have your reasons,which is perfectly okay!

Shida mnapokua na chuki na wasiompenda,sijui mtakaa muelewe nini maana ya demokrasia lini?

Na sijui mtaacha kuua watu lini?Mnaonesha very poor leadership skills all across board!
 
BASI NYAMAZA MAANA HUNA ULIJUALO KWANZIA KUJILIPUA MPK KUSAMBAA UISLAM NOTHING YOU KNOW MAAFA HAYA HAYAHUSIAN NA UISLAM KAA KIMYA .
NA HATUMUABUDU MUHAMMED TUNAMUABUDU ALLAH.
ASA BASI USILAZMISHE VITU KWA HURKA ZAKO.
NDIO MAANA QUOTATION YANGU YA TATU KWAKO NIKAKWAMBIA AMINI UNACHOKIAMIN NAMI NIACHE NA YANGU ILA KUTOKANA NA WAKENYA NI WATU WA KUBISHANA NA KUPENDA UBISHI UNATAKA TUFIKE MBALI ILHALI UNAYOONGEA KUHUSU IMAN YANGU NI UONGO NA UPUMBAVU MTUPU.
KM HUTAK KUJUA KAA KIMYA NA WALA SIO LAZMA KUJUA NA HUNA ULIJUALO UJINGA ULIOKUA NAO KICHWAN BAKI NAO NA IMAN YAKO USIPENDE UBISHAN HAD KTK USIVYOVIJUA.
MAANA HUJUI IMAN NI NN KWA KIISLAM.
HUJUI WANAOJILIPUA TUNAWANASIBISHA NA NN.
HUJUI KM KWETU HAO WANAOJILIPUA WAKO SAHIHI AU LAA.
HUJUI HT KUHUSU IBADA ZETU WALA MUHAMMED WETU.
WALA ALLAH HUMJUI.
BASI KAMSUJUDIE MZUNGU WAKO MAANA TUNAFIKA MBALI ILHALI NAONGEA NA MTU ASIYE NA LOLOTE KICHWAN KUHUSIANA NA TUNACHOONGEA.
SAWA TUNA HAKI ZA KUABUDU ARE YOU SERIOUS YESU IS BLONDED HAIR AND IS SHORT LIKE THAT.???
UNAJUA KUNA VITU VYA KUJIFIKIRIA AISEE SIO ULE UJINGA MTU ATOKE ATOKAKO ETI YESU KAJA SHAME ON YOU.
 

Hehehehe!!! Unavyotokwa povu hadi raha, na ulivyokurupuka kuwacheka wengine kwa imani zao wakati wewe imani yako umeletewa na mwarabu tena akichinja waafrika na kuwabaka, na mpaka leo ndugu zako wa imani wanajilipua kwa mabomu kisa hiyo imani.
Wengine hata wanatokea huko huko Tanzania kuja kujilipua huku kisa hiyo imani yako ambayo imeisumbua dunia kwa mabomu, sio Kibiti, sio Msumbiji mwendo wa mikanzu, mabomu na mauaji.
 
Hujui kuhusu chochote kuhusu uislam.
Kila unaloongea inadhihirisha ujinga wako kichwani.
Maana yote unayoongea ni uongo mtupu.
Hujui maana ya iman ni nn kwetu.
Nothing you know bakia na ujinga huo huo kuwa wanaofanya vile ni waislam.
Then bakia na ujinga huo huo kusema waliuliwa na kubakwa waafrika maana ht historia ya kufika uislam Afrika huijui.
Yan unaongea tu kiuhemko.
Hata wanaojua uislam na historia yake watakuwa wanakucheka tuu kwa ujinga mwingi ulio nao kichwani.
 
Sina chuki na mkenya yoyote,
Chuki zako na serikali bakiza huko huko.
Mimi ni mwanachama wa CDM na nina kadi ya uwanachama, na ninamkubali magu kwa kazi Nzuri anayoifanya awamu hii,
Ww na chuki zako shauri yako cc Tz tunasonga mbele,
Endelea kusema nina chuki na wakenya
Hatutaki GDP ya kwenye makaratasi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…