Habar Wana jamvi,
Wiki iliyopita nilipata wasaa wakutembelea kwetu Kijijini nikiwa kule Kijijini nilipata nafasi yakuzungumza na watu wa makundi mbalimbali, Wazee, Vijana ndugu na marafiki.
Stori iko hivi, kule Kijijini kuna wale Vijana wanaosajili laini za mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel, Airtel hawa vijana baadhi yao wamekuwa siyo waaminifu kabsa kwani huwaibia wazazi wetu bila kujua kwa namna ya kuswap laini.
Iko hivi, wakipata mteja huwa wanashika simu yake na kumwambia kuwa kuna ofa huwa hazipati hivyo wanaomba kumwekea hiyo huduma ya ofa kumbe wao wakipata tu gap bas hukimbilia kuangalia salio la pesa iliyopo kwenye simu ya mteja kwa kumwambia weka namba ya siri ili tuupdate lain yako, baada yakuona salio limo.
Huwa wanachukua laini nyingine mpya ambayo haijasajiliwa nakumwambia mteja aweke kidole kwenye mashine yakusajilia laini ili wakamilishe ku-update laini akiwashaweka kumbe kitendo hicho wanafanya ni kuswap laini na baada ya kufanikiwa huhama location na kwenda Eneo jingne na pesa husika huitoa baada ya laini kwa mteja kuswapiwa huwa inakata mtandao na wao humwambia laini yako itakaa kwa Muda then mtandao utarudi na wao hupotea Eneo lile.
Njia ya pili wanayoifanya wakipata mteja huwa wanamuomba mteja awachukulie kitu fulani wakati anaenda kuchukua wao hubadili laini ya mteja yaani kwenye simu ya mteja wanaweka laini nyingne kabisa na laini ya mteja huweka kwenye simu zao na akirudi tu wanaanza Mchakato wakuingia kwenye menu ya Mpesa au ya halotel wakishafika kwenye kuweka namba huweka namba zao ambazo zitapokea pesa na yeye mteja wanampa simu yao ambayo ina lain yake nakumwambia weka PIN akishaweka PIN process nyingine huendelea hadi muamala kutoka Kwa laini ya mteja kwenda kwenye laini ambayo hutumia kutapelia.
Baada yakukamilisha SMS ya mteja hufutwa kwenye simu nakumuomba tena mteja afuate kitu then hurudisha lain ya mteja kwemye simu yake na wizi umekuwa umependeza hivyo, kwa hiii style ya pili ni ngumu sana kutambua kama umeibiwa mpka siku uje uangalie salio ndio utangundua.
👉👉👉👉sory sipo vizur Sana kwenye uandishi
Tuwe makini na wasajili laini wasio waaminifu ikiwezekana huduma tuzifanyie shop kuepuka hayo!