Mimi najiuliza hivi kwanini marekani au hawa google, au CIA wasiublock website yake isionekane US au hata dunia nzima???
Kwani wenye mamlaka ni nani?kawani hao uliowataja wanamamlaka gani?
Ooh kumbe kama mange tu anavyofanya kazi, kumbe mange akikaza anaanzisha wikileaks yake, tatizo yeye kakalia umbea tu angeanza kupokea habari nyeti ingekuwa poaWiki leaks siyo kwamba wao ndio wanadukua
Kwa mfano mm nikipata nyaraka za siri za taasisi Fulani nawapelekea wikileaks na wao wanachapisha na dunia yote husoma yaliyojiri
Mtu yeyote aliye na nyara aidha kadukua au kapata kwa namna anavyojua yy huwapelekea wiki leaks
Mfano snowden aliwapelekea wiki leaks
Emails za Hillary ,wanaoshutumiwa ni warusi
Ukitaka kuwapelekea taarifa wiki leaks inabidi ufuate taratibu za kiusalama ili usijulikane
Assange yy kaasisi,katengeneza wiki leaks ili kuwarahisishia ummah wajue ukweli kwa mambo yanayofanyika kwahy yy na team yke hupokea nyaraka na kupublish
USA haimiliki dunia na wiki leaks hawafanyi makosa na wala siyo pirate bayMimi najiuliza hivi kwanini marekani au hawa google, au CIA wasiublock website yake isionekane US au hata dunia nzima???
Lakini am sure sio bure bure ukiwapelekea zenye uzito lazima watakuwa wanakulipaWiki leaks siyo kwamba wao ndio wanadukua
Kwa mfano mm nikipata nyaraka za siri za taasisi Fulani nawapelekea wikileaks na wao wanachapisha na dunia yote husoma yaliyojiri
Mtu yeyote aliye na nyara aidha kadukua au kapata kwa namna anavyojua yy huwapelekea wiki leaks
Mfano snowden aliwapelekea wiki leaks
Emails za Hillary ,wanaoshutumiwa ni warusi
Ukitaka kuwapelekea taarifa wiki leaks inabidi ufuate taratibu za kiusalama ili usijulikane
Assange yy kaasisi,katengeneza wiki leaks ili kuwarahisishia ummah wajue ukweli kwa mambo yanayofanyika kwahy yy na team yke hupokea nyaraka na kupublish
Nafikiri Kubenea naye kuna kipindi alikuwa anakamata habari nyeti kabisa!!Ooh kumbe kama mange tu anavyofanya kazi, kumbe mange akikaza anaanzisha wikileaks yake, tatizo yeye kakalia umbea tu angeanza kupokea habari nyeti ingekuwa poa
hawawezi kublock kama nani sasa, hawana mamlaka hiyo unataka wadaiwe trillions of dollars nao wanalijua hiloMimi najiuliza hivi kwanini marekani au hawa google, au CIA wasiublock website yake isionekane US au hata dunia nzima???
USA haimiliki dunia na wiki leaks hawafanyi makosa na wala siyo pirate bay
Japo kuwa wao wanamiliki internet lkn hawana uwezo wa kuzima private server mpk wapate kibali
Server ya wiki leaks ipo uswizi sehemu ambayo USA hawana mamlaka ,uswizi wenyewe hawataki kuizima na pia wiki leaks haina server nchi moja inayo zaidi ya nchi 8 kwahyo ni vigumu sana
Wiki leaks siyo kwamba wao ndio wanadukua
Kwa mfano mm nikipata nyaraka za siri za taasisi Fulani nawapelekea wikileaks na wao wanachapisha na dunia yote husoma yaliyojiri
Mtu yeyote aliye na nyara aidha kadukua au kapata kwa namna anavyojua yy huwapelekea wiki leaks
Mfano snowden aliwapelekea wiki leaks
Emails za Hillary ,wanaoshutumiwa ni warusi
Ukitaka kuwapelekea taarifa wiki leaks inabidi ufuate taratibu za kiusalama ili usijulikane
Assange yy kaasisi,katengeneza wiki leaks ili kuwarahisishia ummah wajue ukweli kwa mambo yanayofanyika kwahy yy na team yke hupokea nyaraka na kupublish
Siyo wa kujue wiki leaks ,NSA au hata kwa wale uliowavujishia siri zao sabb wakiamua kumtafuta aliyevujisha siri yao na wakikujua basi utakuwa matatizoniunafauta taratibu gani sasa ili wasikujue?
zinapatikana google play au?Siyo wa kujue wiki leaks ,NSA au hata kwa wale uliowavujishia siri zao sabb wakiamua kumtafuta aliyevujisha siri yao na wakikujua basi utakuwa matatizoni
Kwanza tumia open source OS na os inayopendekezwa ni Tails sabb ipo secured na haiachi trace yeyote,pia whistle blower nayo inapendezwa,browser tumia Tor browser sabb ipo secured nayo ,.nyaraka nyingi wikileaks hupewa kupitia darkweb huko ndio kificho cha wanaharakati,wezi nk sabb security ya huko ipo vzr sabb kila mtu yupo anonymous huko
Hzo ni baadhi ya key steps.lkn ukiwa na VPN utakuwa ulinzi unajiongezea vzr zaidi..
Ni wamarekani wanacheza na akili za watu, hata yule Snowden ni mtu wao ktk system yao.Wakuu kwa muda mrefu sasa huyu Bwana anayejulikana kama Jullian Assange amekuwa akianika maovu ya serikali nyingi duniani, toka aanzishe mtandao wake wa Wikileaks karibu miaka 10 iliyopita, ameweza kupata misukosuko mbalimbali ikiwemo kupewa kesi ya ubakaji!!
Swali langu, ni vipi Assange anaweza kupata taharifa toka serikali zenye mifumo madhubuti kama Marekani? Ni kwamba huyu mtu ana akili sana au amekuwa akipenyezewa habari toka watu wa ndani wa serikali husika?