namna ya kiasili ya kuwaweka mabinti mbali na wakaka wakware-it works ila hii bora tohara

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,585
Reaction score
7,766
@ARUSHA, baba mngoni , mama mchagga

Kuchoma maziwa ni namna ya kiasili hasa West AFRICA
the goal is to make mdada/binti less desirable to boys -- and stave off pregnancy

Chuma (iron rod) au jiwe huwekwa jikoni likishapata moto hugandamiziwa kwenye maziwa ya mlengwa na hii hifanya for several wiki.
Kuna kipindi nilikuwaga mapepe kidogo baba yangu mzazi akaniambia ningekuwa Matogoro Ruvuma angeomba nichomwe maziwa in case


Leo hii story ipo CNN nimejua nini alichokuwa akimaanisha baba


google:[h=1]Breast ironing tradition targeted in Cameroon[/h]From Nkepile Mabuse, CNN
July 28, 2011 -- Updated 0053 GMT (0853 HKT)
 
Hakuna cha ubora Martyina kuyachoma maziwa au kufanyiwa tohara are one of the most despicable and cruel acts against any female being. wewe hapo ulipo mtu alete hiyo iron rod yenye moto mpaka imekuwa nyekundu halafu akuwekee juu ya maziwa eti kupunguza umapepe......no way. mie bora uniue kuliko unifanyie any of those....
 
ndiyo vyote vibaya (kuchomwa/tohara) ila ukumbuke kwa sisi tuliozaliwa vijijini mambo haya tunalazimishiwa na by the time upo mdogo na huna cha kufanya zaidi ya kusubiria uamuzi wa wakubwa.
Now !suppose wakubwa wameamua ufanyiwe ni bora kipi?mie bora tohara kuliko kuchomwa
 
Hayo ni manyanyaso ya hali ya juu.... alafu mbona kuna wadada wazuri

saaana na wanavutia na maziwa tayari lapa, Bra inafanya kazi yake?
 
Mhhhhh!!! mbona wasichana wa kiafrika wana mateso hivyo!!!......mhhhh!!!
 
Hayo ni manyanyaso ya hali ya juu.... alafu mbona kuna wadada wazuri <br />
<br />
saaana na wanavutia na maziwa tayari lapa, Bra inafanya kazi yake?
<br />
<br />
Hiiiiiiiiiiiiiiiiii.......eti lapa!!! Hahahahaaaaaa Halafu we unaonekana ungekimbia hadi kijiji cha jirani wewe! Ila I agree with you, mi mwenyewe siwezi chomwa aisee!
 
Hayo ni manyanyaso ya hali ya juu.... alafu mbona kuna wadada wazuri

saaana na wanavutia na maziwa tayari lapa, Bra inafanya kazi yake?
nia si maziwa kuwa lapa ila ni kuuwa nerve cells flani flani and somatic cells
 
Jamani hizi mila za wapi tena? unamchoma mtu maziwa na chuma cha moto? yakishachomwa yanatoweka hapo au inakuwaje? mwanamke wa kiafrica ana mateso mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…