Wakuu samahani kwa anajua atujuze maana mf ukipita kwenye migahawa ya wahindi utakuta wana chachandu ya nazi nafikiri huwa wanachanganya na ndim na pilipili lakin mie nimejaribu sipati same taste kama ile.
Ile kitu kwa kachori au kababu ni balaa mbaya hasa ukiamuka una hang over na huna hamu ya kula.
Hio ni kotmiri...hayo majani sorry kuna na vichupa hapo visikuchanganye na mvuje ni majani huko uswazi ndo mengi hasaAsante sana Mrs. Kharusy.
Kotmir ikoje au mbadala wake nini hasa huku kwetu uswaz na majani ya mvunje pia siyafahamu.
Usinchoke tafadhari
Nazi+ kotmiri + maji ya ndimu + kerot kipande ukipenda + pilipili za kuwasha + ukipenda majani ya mvuje km matatu Weka vyote kwenye blender saga .
Nb. Maji ya ndimu yawe ya kutosha tegemea nwenyeo unataja ichapuke vipi
Wakati wa kusaga ongezea maji ya kawaida kidogo na chumvi usisahau.
Enjoy chatney
Asante sana Mrs. Kharusy.
Kotmir ikoje au mbadala wake nini hasa huku kwetu uswaz na majani ya mvunje pia siyafahamu.
Usinchoke tafadhari
Kitu chatne jaan wangu
Mvuje hata kwa badia unaweka.....
Home mom kapanda mkubwa huo coz ni tabu kupatikana hadi kwenye mwitu
Hiyo kotmir haiharibiki ukiweka ivo? Kama utapenda saga na kitunguu saumu then weka katika friji inakaa mda mrefu