Derick Luhaga
Member
- Feb 18, 2017
- 22
- 10
Ndugu wana JF, kuna mtu aliwahi kuniuliza kuwa hv icecream za kawaida tofauti na zile kama za azam nk , alimaanisha zile local mfano za ubuyu nk, huwa zinaandaliwaje? Nilimjibu ninavyojua mm bt huwenda ninyi nanyi mnajua zaidi, naomba tugawane ujuzi....thanks, Nawakilisha