Namna ya kuandika barua loan board kuacha kutoa mkopo kama hujaripoti katika chuo husika

Namna ya kuandika barua loan board kuacha kutoa mkopo kama hujaripoti katika chuo husika

FERTILIZER

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
60
Reaction score
5
Jaman ndugu zangu naombeni kuelekezwa namna ya kuandika barua ilikuacha kupeleka mkopo kwenye chuo husika kama hujaripot kwenye hicho chuo
 
huna haja ya kuandika barua cha msingi usifanye usajili tu mkopo wako hautokua na effect yoyote na utarudishwa body kama hela zao za body na c zako.kumbuka hupati mkopo mpaka ujisajili hvyo kama kuaghrisha we subiru uapply mwakani ila jitahidi uje omba coz za priorty uwe na uhakika na kuupata mana jamaa cku hizi chinjachinja sana.otherwise unaweza kwenda kuwaona wakupe maelekezo mengne bt ingekua vzuri ukaripot chuo kisha ndo usogeze mwaka ili loan officer wa chuo ndo apeleke barua yako ili mwakani ukija usiapply upya na usiwe na mawazo ya mkopo coz utakua umewasilishwa chuo
 
Nashkur sana mkuu kwa maelezo mazur bila shaka nimekuelewa. be blexxed
 
Back
Top Bottom