huna haja ya kuandika barua cha msingi usifanye usajili tu mkopo wako hautokua na effect yoyote na utarudishwa body kama hela zao za body na c zako.kumbuka hupati mkopo mpaka ujisajili hvyo kama kuaghrisha we subiru uapply mwakani ila jitahidi uje omba coz za priorty uwe na uhakika na kuupata mana jamaa cku hizi chinjachinja sana.otherwise unaweza kwenda kuwaona wakupe maelekezo mengne bt ingekua vzuri ukaripot chuo kisha ndo usogeze mwaka ili loan officer wa chuo ndo apeleke barua yako ili mwakani ukija usiapply upya na usiwe na mawazo ya mkopo coz utakua umewasilishwa chuo