Namna ya kuangalia mchakato wa Maombi ya hati ya kiwanja kupitia mifumo ya ardhi

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Habari Wakuu..!!
Nimenunua kiwanja Halmashauri fulani ya Mji na nilishakamilisha michakato yote ya kuomba hati ya umiliki.
Hivyo wataalam wa ardhi naomba mnielekeze namna ya kuingia kwenye mifumo yenu ili niweze kuona STATUS ya mchakato wa Maombi maana niko mbali na Halmashauri husika,pia naona itanisaidia katika progress ya ufuatiliaji.
 
Kuna mfumo wa E- ardhi jisajili humo kisha fuata maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…