Namna ya kuanzisha kampuni bora

Namna ya kuanzisha kampuni bora

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,930
Reaction score
2,565
Salaaaam...
naomba ushauri, nataka kuanzisha kampuni ya kuandaa,kutengeneza na kusambaza kazi za muziki/sherehe/matukio/documentaries n.k kwa hatua maana sina uzoefu wa kazi hii.
hatua tya kwanza nataka kuanza na kupiga picha mnato,video na kuandaa sherehe. Naomba ushauri namna bora ya kufanya kazi hii kwa hatua hii,ikiwa pamoja na kamera za aina gani zinafaa zaidi,kuedit n.k.

nakaribisha ushauri wataaluma wangu..
 
Back
Top Bottom