Mtanzania2017
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 4
uwe specific Radio ya namna gani? FM AM au?Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya kawaida tu pia Kwa makisio ya kawaida inaweza gharimu shingapi?
Asante mkuuMuone lemutuz ndio nasikia kasomea mambo ya kutoa taarfa
Asante mkuuJaribu kumuona huyu jamaa Pascal Mayalla akupe A B Cs
FMuwe specific Radio ya namna gani? FM AM au?
Frequency modulation and Amplitude Modulation respectively.Tupe elimu mkuu,tofauti ya FM na AM