Namna ya kubadili shirt jeupe kuwa blue

Namna ya kubadili shirt jeupe kuwa blue

Financial Freedom

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
1,246
Reaction score
2,299
Habari wadau,poleni na msiba.

Nauliza wazoefu wa kubadili shirt la rangi nyeupe kuwa la rangi ya blue,mnatumia ile blue powder ya kipindi kile? Na je nguo itaendelea kung'ara kama awali ikiwa sasa imekuwa ya blue na hizo blue powder bado zinapatikana madukani?
 
Siyo hiyo blue ya kawaida ya madukani kuna nyingine inaitwa dye ya unga vile vile unachanganya kwenye maji unaloweka nguo
 
Nunua shati jipya.😀
Yaani nahitaji mashati ya blue kama uniform job afu nina mashati meupe mengi uniform ya kazi iliyopita...sasa haya meupe yamo ndani tu siyavai nataka niyape matumizi😁😁
 
Siyo hiyo blue ya kawaida ya madukani kuna nyingine inaitwa dye ya unga vile vile unachanganya kwenye maji unaloweka nguo
Nikitumia yanakuwa light blue kama hii au deep blue
 

Attachments

  • 20210319_202121.png
    20210319_202121.png
    75.7 KB · Views: 19
Back
Top Bottom