Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Ahsante sana...ngoja nitaisaka hiyo madukaniSiyo hiyo blue ya kawaida ya madukani kuna nyingine inaitwa dye ya unga vile vile unachanganya kwenye maji unaloweka nguo
Yaani nahitaji mashati ya blue kama uniform job afu nina mashati meupe mengi uniform ya kazi iliyopita...sasa haya meupe yamo ndani tu siyavai nataka niyape matumizi😁😁Nunua shati jipya.😀
Nikitumia yanakuwa light blue kama hii au deep blueSiyo hiyo blue ya kawaida ya madukani kuna nyingine inaitwa dye ya unga vile vile unachanganya kwenye maji unaloweka nguo
😀😀Yaani nahitaji mashati ya blue kama uniform job afu nina mashati meupe mengi uniform ya kazi iliyopita...sasa haya meupe yamo ndani tu siyavai nataka niyape matumizi😁😁
Unachagua mwenyewe ni blue ipi unataka zipo varietiesNikitumia yanakuwa light blue kama hii au deep blue
Hahahah hizo mlisoma wazee wa zamani...mimi nimesoma sayansi na stadi za kazi uchanganyaji wa rangi.Aiseee... hujasoma sayansi kimu...?
Oh sawaHahahah hizo mlisoma wazee wa zamani...mimi nimesoma sayansi na stadi za kazi uchanganyaji wa rangi.
Ila yale ni theory,experience beat theory[emoji16]
Hahahah ahsante,wewe ni mpelelezi wa kujitegemeahongera kwa kupata kazi Bank