Fikiri seleman
New Member
- Jun 16, 2020
- 2
- 2
Kwanza kabisa naomba nieleze Kwa ufupi ni kivipi nchi nyingi za Ulaya zimeweza kuwa vinara katika maendeleo ya uchumi, majeshi, miundombinu ya usafiri, usalama n.k tofauti na nchi za Africa ikiwemo Tanzania
Moja nimegundua kwamba nchi nyingi za Ulaya zinaheshimu na kuwekeza sana katika sayansi na technolojia, pia zinawatumia na kuwalea vyema rasilimali watu wenye uwezo mkubwa wa kisayansi na kitechnolojia, tumekuwa tunaona na kutumia gunduzi nyingi kutoka nchi za bara la ulaya, america na Asia hii nitofauti na Tanzania-Afrika.
Haimaainishi kwamba Afrika hatuna watu wenye upeo mkubwa wa kisayansi na kitechnolojia isipokuwa uthubutu wa kitaifa katika kuheshimu, kuwekeza Kwa kiasi kikubwa, kuwezesha, kushawishi, na kuweka mazingira rafika Kwa rasilimali watu na rasilimali vitu katika kuwezesha mafanikio ya kiteknolojia na sayansi.
Mfano tunaitumia huduma ya internet karbu nchi zote Duniani, tunatumia na kuripia Huduma ya "google" karibu nchi zote Duniani, tunatumia computer na computer software karibu nchi nyingi za Dunia lakini tunasahau hizi zote ni jitihada za watu na mataifa yako kuthamini na kuwekeza katika technolojia na sayansi katika kujiletea mapinduzi ya kimaendeleo yamataifa Yao na Dunia kiujumla
Hivyo basi namna pekee ya kubadilisha Tanzania-Africa kiuchumi, kimiundombinu na kitechnolojia nikuheshimu, kuthamini na kuwekeza Kwa kiasi kikubwa katika majaribio ya mara kwa mara katika mafunzo ya ugunduzi wa technolojia, kuwalea vyema na kuwawekea mazingira rafiki rasilimali watu wenye maono makubwa ya kubadilisha muelekeo wa taifa kuwa bora.

Upvote
0