Namna ya kudhibiti rushwa za ngono-ajira mpya za walimu

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Wapo baadhi ya maofisa halmashauri mbalimbali hapa nchini ambao huendekeza rushwa za ngono katika kutoa huduma kwa walimu na watumishi wengine wa kike wanoanza kazi kwa mara ya kwanza au kwa wazoefu pale wanapofanya mchakato wa kuomba uhamisho.

Ewe mwalimu mpya wa kike kamwe usidhubutu kumvulia nguo yako fupi kuliko zote OFISA eti akupangie shule sijui nzuri, yenye umeme, maji, nyumba n.k. Ukiona ni bora kuambukizwa VVU ili upate umeme, maji,nyumba HILO NI TATIZO LAKO!

OFISA yeyote ambaye atakusumbua kwa kukuomba RUSHWA ya ngono usioneshe dalili za kumkatalia, wewe mkatalie kimoyomoyo tu.

-Katika dhamira yako amini na amua kuwa shule yoyote ile utakayopangiwa utafanya kazi cha msingi wawepo wanafunzi, walimu, wazazi, madarasa na jamii kwa ujumla inayozunguka eneo hilo.

- Kamwe usifanye michakato ya kwenda kwa maofisa kubembeleza kupangwa shule fulani.Lakini kama una tabia hiyo nayo mbaya.Kama na mikoa ulienda na mzazi au ndugu kuhonga basi wewe utakuwa hushauriki.

OFISA WA KUKUTAKA NGONO WEWE MWALIMU WA KIKE, FANYA YAFUATAYO:

> mkubalie.

>Mwambie mtafute eneo la kufanya hiyo shughuli OVU.

> Toa taarifa haraka kwa TAKUKURU na WAANDISHI WA HABARI maana wapo kila eneo.

> Muda ukifika nenda kwenye tukio.

> Ofisa akifika usiwe mwepesi wa kuvua nguo yako fupi, jaradia kisawasawa ili asiweze kukukamata na kukuvua kwa nguvu.

> Mtegeshee kwa kumfanyia surprise kama kumvua nguo akidhani anaenda kupata tunda kumbe pingu.

> Jamaa wakifika fungua mlango.
> ATAJUTIA KWA NINI ALIZALIWA TANZANIA NA SIYO DARFUL.

Samahani msinione mnonko ila tabia hiyo inanikera sana tena sana na nimeongelea walimu wa kike kwa sababu ndio wahanga wa tatizo hili dhidi ya MIFATAKI maofisini.Ofisa wa kike kuomba rushwa ya ngono kwa mwalimu wa kiume ni ngumu sana na niseme maofia wa kile wenye tabia hiyo basi katika 100,000,0000,000,000 ni mmoja tu
 
Fine!khali hii inakera sana na inatokea kila mwaka.Dada zetu baadhi wanafanyiwa hivyo,wanaanza kaz tayari na VVU na kuwapelekea waume au wachumba wao.
 
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa


anuani na simu za ofisi za mikoa na wilaya







mkoa/wilaya

anuani

simu

nukushi

makao makuu

4865

(022) 2150043-6

(022) 2150047

arusha

1055

(027) 2503538/2507928

(027) 2505973

karatu

208

(027) 2534443

(027) 2534443

ngorongo

1055

(027) 2535224

(027) 2535224

monduli

85

(027) 2538340

(027) 2538340

arumeru

724

(027) 2553729

(027) 2553711

longido

3

(027) 2503689



dar es salaam

6420

(022) 2132954

(022) 2123019

ilala

6420

(022) 2861088

(022) 2150047

kinondoni

9397

(022) 2170852

(022) 2170963

temeke

42325

(022) 2863092

(022) 2863092

d0doma

1175

(026) 2322003/2322695

(026) 2322003

mpwapwa

112

(026) 2320712

(026) 2320712

bahi

1175

(026) 2321979

(026) 2321979

chamwino

1175

(026) 2321979



kondoa

710

(0260 2360203

(026) 236037

kongwa

176

(026) 2320586

(026) 2320586

iringa

1575

(026) 2701700/2700156

(026) 2703014

kilolo

2300

(026) 2701700



ludewa

146

(026) 2790046

(026) 2772476

mufindi

303

(026) 2772476

(026) 2772476

makete

104

(0260 2740167

(026) 2740167

njombe

629

(026) 2782777

(026) 2782777

kagera

1138

(028) 2220848/2220491

(028) 2220534

biharamulo

179

(028) 2223518

(028) 2223518

chato

75

(028) 2222801

(028) 2222801

karagwe

238

(028) 2223075

(028) 2223075

misenye

41

(028) 2222248

(028) 2222248

muleba

19

(028) 2222700

(028) 222700

ngara

6

(028) 2223664

(028) 2223664

kigoma

880

(028) 2802889

(028) 2804928

kasulu

111

(028) 2810609

(028) 2810608

kibondo

123

(028) 2820412

(028) 2820401

kilimanjaro

1951

(027) 2750885/9

(027) 2750885

hai

309

(027 ) 2757025

(027) 2757025

mwanga

310

(027) 2756268

(027) 2756268

rombo

321

(027) 2758985

(027) 2758985

same

154

(027) 2758422

(027) 2758422

siha

156

(027) 2758911

(027) 2758911

lindi

1004

(023) 2202456/ 2202799

(023) 22022215

kilwa

91

(023) 2013053

(023) 2013053

liwale

101

(0713) 910471



nachingwea

213

(023) 2933125

(023) 2933125

ruangwa

53

(023) 2932261

(023) 2932261



mara

377

(028) 2620240

(028) 2620012

bunda

178

(028) 261320

(028) 2621320

serengeti

149

(028) 2621625

(028) 262125

tarime

277

(028) 2690697

(028) 2690697

manyara

386

(027) 2530255/2530255

(027) 2530448

hanang’

158

(027) 2531679

(027) 2531679

kiteto

120

(027) 2555382

(027) 2555382

mbulu

239

(027) 2533027

(027) 2533027

simanjiro

9500

(027) 2555639

(027)2555639

mbeya

1419

(025)25603566

(025) 2502859

chunya

72

(025)2520231

(025) 2520231

ileje

36

(025)2570132

(025) 2570132

kyela

578

(025)2540083

(025) 2540083

mbarali

228

(025)2590082

(025) 2590083

mbozi

588

(025)2580226

(025) 2580226

rungwe

328

(025)2552109

(025) 2552109

morogoro

845

(023)2614205/2614478

(023)2614478

kilombero

579

(023)2625386

(023)2625386

kilosa

154

(023)2623449

(023)2623086

mvomero

6091

(023)2600537

(023)2600537

ulanga

130

(023)2604478

(023)2627031

mtwara

213

(023)2334013/ 2333726

(023) 2334013

masasi

214

(023)2510553

(023) 2510553

nanyumbu

214

(0786) 733337



newala

176

(023)2410626

(023)2410626

tandahimba

12

(023)2410033

(023)2410033

mwanza

2599

(028) 2500600/2

(028) 2500602

geita

38

(028) 2520004

(028) 250004

kwimba

82

(028) 2540648

(028) 2520004

magu

50

(028) 2530127

(0280 2530127

misungwi

123

(0732) 981066

(0732) 981066

sengerema

249

(028) 2590245

(028) 2590245

ukerewe

164

(028) 2515294

(028) 2515294

pwani

30261

(023)2402657

(023) 2402657

bagamoyo

262

(023)2440105

(023) 240075

kisarawe

28082

(023)2402760

(023) 2402766

mafia

76

(023)2010179

(023) 2010179

mkuranga

102

(023)2402658

(023) 2010750

rufiji

18

(023)2010293

(023) 2010365

rukwa

273

(025)2802426/2802926

(025) 2800312

mpanda

275

(025)2820613

(025) 2820613

nkasi

1

(025)280293

(025) 2830124

ruvuma

926

(025)2600613

(025) 2600663

mbinga

285

(025)2640686

(025) 2640686

tunduru

147

(025)2680342

(025) 2680340

namtumbo

5

(025)2602898

(025) 2602892





shinyanga

37

(028)2762630

(028) 2763358

bariadi

306

(028)2700371

(028) 2700532

bukombe

139

(028)2555508

(028) 7342520

kahama

538

(028)2710936

(028) 2710926

kishapu

9

(028)2762630



maswa

315

(028)2750008

(028) 275008

meatu

119

(028)2795120

(028) 2795120

singida

484

(026)2502305

(026) 2502550

iramba

139

(026)2502370

(026) 2502821

manyoni

13

(026)2540277

(026) 2540275

tabora

1020

(026)2604311

(026) 2604039

igunga

220

(026)2650294

(026) 2650294

nzega

56

(026)2692331

(026) 2692331

sikonge

106

(026)2604287

(0732) 988242

urambo

132

(026)2604303

(0732) 988254

uyui

1880

(026)2605311

(026) 2605311

tanga

1953

(027)2645186, 0717354230,0786482280

(027)2647885

handeni

386

(027)2641772

(027)2641772

kilindi

55

(027)2645186



korogwe

412

(027)264059

(027)2640598

lushoto

310

(027)2640268

(027)2640268

mkinga

1953

(027)2645186



muheza

270

(027)2641221

(027)2641221

pangani

138

(027)2630269

(027) 2630269
 
nashukuru sana kwa namba hizi za simu zilizotolewa
Bila shaka vita hii tutashinda
Shime kila mtu pahala pake pa kazi na aseme sasa "Rushwa ni adui wa haki sitatoa wala kupokea rushwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…