Namna ya kufahamu kama uzito umezidi

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
850
Reaction score
772
Habari zenu wadau,

Nahitaji kufahamu jinsi ya kujua kama uzito wangu umezidi, maana nasikia uzito unaendana na urefu ila hiyo fomula siifahamu.

Msaada juu ya hiyo njia.
 
Pima uzito, labda 100kg. Pima urefu, labda 1.6m. Chukua uzito na gawanya kwa urefu mara urefu. yaani 100/(1.6x1.6). jibu atakalo pata linaitwa BMI (Body Mass Index).

Ukipata jibu chini ya 18.5,basi wewe ni mkondefu. Ukipata 18.5-25 uko poa, ukipata 25-30 unene umezidi. Ukipata zaidi ya 30 ujue una kiiriba tumbo au wewe ni kibonge mno.

Mfano 100/(1.6x1.6)=100/2.56=39.

Huyu mtu mwenye 39 ni kibonge kupita kiasi na ataonekana hivi. Ila utaona kuna tofauti kidogo kwenye range.
 
wadau habari naitaji kufahamu jinsi ya kufahamu kama uzito wangu umezidi maana nasikia uzito unaendana na urefu ila iyo fomula sihifahamu masaada juu ya iyo njia?

kama ni mwanaume simamisha ( dindisha ) kikojoleo chako kisha laza kijiko cha chai hapo juu yake na ukiona hakianguki basi ujue uzito wako umeongezeka and vice versa. kwa mwanamke ukitaka kujua kama uzito wako umeongezeka tafuta glasi ya maji iliyo tupu kisha isimamishe ktk makalio ( wowowo ) lako kisha ukiona ile glasi haianguki chini na imetulia tuli ktk wezere lako basi jua ya kuwa umeongezeka uzito wako and vice versa.
 

Duuuuh
Serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa sana.
Shule za kata zimeharibu sana wananchi wa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…