Naelewa kwa upande wa nguo ila upande mwingine sijui. ..wafanyabiashara wengi hapo Mwanza wanaofata nguo Nairobi wanakua na watu wao kule wanaowafungia mizigo so issue inayofanyika mfanya biashara wa Mwanza anapiga kwa mwenye Mali huko Nairobi (wale wasomali wenye maduka) then anamfungia mzigo wake anakabidhi mwenye gari (wenye magari pia wengi wana maduka Yao ya nguo Mwanza ) then mzigo unasafirishwa kuja Mwanza.
Ila usihofu Kenya wameiongeza Tanzania moja wapo ya nchi ambazo hawatakaa karantini so ukienda unafanya shughuli zako unarudi , kila la herii....