Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
ShukuraniJifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
Mambo tushayajadili sana haya, uwe unasearch nyuzi zilizopo kabla ya kuanzisha uzi mpya
Nakupa link muhimu tulizojadili. Kuna jamaa anaitwa mwl. Rct alitufundisha vizuri sana kwenye comment zakeShukurani
Poa mkuuNakupa link muhimu tulizojadili. Kuna jamaa anaitwa mwl. Rct alitufundisha vizuri sana kwenye comment zake
Nenda post namba tatu nimekuwekea link zipo tatu. Hapo utapata maswali na majibu yote. Ukishajielimisha karibu kwa maswali ktk link zile zile naamini wadau watakujibuPoa mkuu
Card zote zina fanya manunuzi bila matatizo mimi natumia UBA visa card kufanya malipo nikiwa naagiza mzigo nje bila shida yoyote,cha kufanya ni ww uwe na fedha ya kutosha kwenye card yakoWenye uzoefu wa namna ya kufanya manunuzi ONLINE (Mtandaoni) naomba tuelekezane hapa. Tujulishane hatua unazotakiwa kuzifanya mwanzo mpaka mwisho kwa kutumia Card hizo.
Pia tujulishane utofauti uliopo kati ya Visa Card na Master Card, na ipi ni bora katika kufanya manunuzi bila usumbufu.
Shukurani wakuu
Visa/master card yoyote imeidhinishwa kufanya malipo online na kwenye swap mashines dunia nzimaNilipata kusikia kuwa mpaka uende Benki husika waiidhinishe kadi yako... Kwa ujuzi mwingine ngoja wajuzi waje
Mbona mimi ya kwangu ilizingua kipindi fulani hivi mkuuVisa/master card yoyote imeidhinishwa kufanya malipo online na kwenye swap mashines dunia nzima
Ili kuambiaje,kwa sababu mara nyingi ina sema insufficient fundsMbona mimi ya kwangu ilizingua kipindi fulani hivi mkuu
iliandika hii kadi haitambuliki mkuuIli kuambiaje,kwa sababu mara nyingi ina sema insufficient funds
Ime blockiwa mpka uende ukaifungue bankiliandika hii kadi haitambuliki mkuu
sawa mkuu shukraniIme blockiwa mpka uende ukaifungue bank