Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna za kwenda zipo nyingi na zinategemea na Nini unaenda kufanya huko Nairobi. Kuna njia za wanaoenda kununua mirungi ni tofauti na yule anayeenda kusalimia ndugu yake.Habari wakuu naomba kuuliza kama kuna namna yeyote ya kufika Nairobi katika kipindi hiki cha corona na mipaka kufungwa.
Natanguliza shukurani.
Mkuu hii habari una uwakika nayo kuwa wanao zinguliwa ni madreva wa malorry tu?Panda gari vuka Namanga unatoboa Nai. magari yanaenda wanazinguliwa madereva wa malori
Mzee baba Namanga unapita fresh tuMkuu hii habari una uwakika nayo kuwa wanao zinguliwa ni madreva wa malorry tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihangaike mkuu tulia hali bado sio shwari hiyo nauli uta poteza bure, matatu za kwenda Nairobi via Namanga hazifanyi kazi mwezi watatu huu kwenda wanneOk Asante sana
Lock down akifika kenya siku 14 kwa gharama zake asisahau hilo piaUsihangaike mkuu tulia hali bado sio shwari hiyo nauli uta poteza bure, matatu za kwenda Nairobi via Namanga hazifanyi kazi mwezi watatu huu kwenda wanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkuu hapa anaweza kukupa a,b, c MK254
Polisi wetu sio mapolisi yetu ,anyway huku tuna wagonjwa 60 huko kuna wagonjwa wangapi vile ukijumlisha na wale wa ikuluPima corona, kisha piga karantini siku 14, ningempa mchongo ila nikiwaza anatokea huko ambapo corona ipo hadi kwa mapaipai, moyo wangu unanisuta maana nitakua nakaribisha balaa kwetu.
Sema kuna watu wanaingia na kutoka, mapolisi yetu hapa huwa mafisadi kupita maelezo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pima corona, kisha piga karantini siku 14, ningempa mchongo ila nikiwaza anatokea huko ambapo corona ipo hadi kwa mapaipai, moyo wangu unanisuta maana nitakua nakaribisha balaa kwetu.
Sema kuna watu wanaingia na kutoka, mapolisi yetu hapa huwa mafisadi kupita maelezo.
Nasisitiza huu ujumbe hazifanyi kazi ni mwezi wa tatu huu, kama wew ni mtu mwema ( innocent ) usijabu ila kam ni mtukutu ( thug) unaweza kuingia kupitia njia ambazo sio halali mim niko hapa toka mwezi wapili nimesindwa hata kwenda kuona familia.Usihangaike mkuu tulia hali bado sio shwari hiyo nauli uta poteza bure, matatu za kwenda Nairobi via Namanga hazifanyi kazi mwezi watatu huu kwenda wanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wetu sio mapolisi yetu ,anyway huku tuna wagonjwa 60 huko kuna wagonjwa wangapi vile ukijumlisha na wale wa ikulu