Namna ya kufuga nywele zenye afya na zilizonyooka 'afro'

Namna ya kufuga nywele zenye afya na zilizonyooka 'afro'

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,237
Reaction score
1,140
Wanajamvi,

Kwa yeyote anaefahamu namna ya kuweza kufuga afro, yenye nywele nyeusi, zilizonyooka na kusimama anisaidie please, mimi zangu huwa nikichana zinalala wakati mimi napenda zisimame na kuwa black.

Anaefahamu mafuta mazuri yanayofaa tuelekezane.
 
Pole mkuu kwakuwa na nywele kibamia

Mimi binafsi huwa naamini kuwa ili uwe na healthy hair...healthy skin na healthy mind ni lazima ule healthy food na maji ya kutosha.

Ili nywele zako zikuwe vizuri kwa afya na kuwa nyeusi zingatia kula vizuri haswa matunda, mboga za majani na maji ya kutosha. Hizi dawa za viwandani za kupaka ni za muda tu then baadaye zitasababisha nywele kukatika au kuungua.
 
Ushauri mzuri, sasa mkuu ungefafanua ni matunda gani hayo, maana Kuna aina nyingi za matunda
 
kunywa maji lita 20 kwa siku yanasaidia

watu walidhani maji ni weupe tu! ata nywele yanasaidia zinakua strong

kunywa maji mkuu!!
Duuuuu mkuu hebu nipe njia mbadala, maana hiyo imenishinda
 
Wanajamvi,

Kwa yeyote anaefahamu namna ya kuweza kufuga afro, yenye nywele nyeusi, zilizonyooka na kusimama anisaidie please, mimi zangu huwa nikichana zinalala wakati mimi napenda zisimame na kuwa black.

Anaefahamu mafuta mazuri yanayofaa tuelekezane.

Nywele pia inategemea kama zimebanana (kushikana) vipi maana unaweza kuwa na nywele nyingi lakini zikawa zimepishana yaani kuna nafasi kubwa baina ya unywele na unywele ndiyo zinazo sababisha nywele kulala.

Kuna hair spray kama anayotumia Donald Trump huzifanya nywele kusimama au kushikana. Lakini kama wadau walivyosema hapo juu chakula bora pia muhimu.
 
Nywele kama sehemu ya kiungo cha mwili wako....kinahitaji virutubisho bora ili ziweze kukua na kustawi vyema........
Naamini ukitembelea maduka ya vipodozi na masaluni makubwa utakutana na watatuzi wa tatizo lako......,
310311b67f0ecdab516be5a0e244066f.jpg
 
Back
Top Bottom