Lita 20 [emoji15] [emoji15] [emoji15]kunywa maji lita 20 kwa siku yanasaidia
watu walidhani maji ni weupe tu! ata nywele yanasaidia zinakua strong
kunywa maji mkuu!!
lita 20 ndio... na hapo ndo pa kuanzia ukijiweza sana ata 30 sio mbayaLita 20 [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama dawa ndo hiyo hata mimi siwezilita 20 ndio... na hapo ndo pa kuanzia ukijiweza sana ata 30 sio mbaya
Aisee Kuna tiba balaaaa humu ndani.kula vitunguu maji vibichi
Ushauri mzuri, sasa mkuu ungefafanua ni matunda gani hayo, maana Kuna aina nyingi za matundaPole mkuu kwakuwa na nywele kibamia
Mimi binafsi huwa naamini kuwa ili uwe na healthy hair...healthy skin na healthy mind ni lazima ule healthy food na maji ya kutosha.
Ili nywele zako zikuwe vizuri kwa afya na kuwa nyeusi zingatia kula vizuri haswa matunda, mboga za majani na maji ya kutosha. Hizi dawa za viwandani za kupaka ni za muda tu then baadaye zitasababisha nywele kukatika au kuungua.
Duuuuu mkuu hebu nipe njia mbadala, maana hiyo imenishindakunywa maji lita 20 kwa siku yanasaidia
watu walidhani maji ni weupe tu! ata nywele yanasaidia zinakua strong
kunywa maji mkuu!!
Mapera kwa wingiUshauri mzuri, sasa mkuu ungefafanua ni matunda gani hayo, maana Kuna aina nyingi za matunda
We umeanza kunywa hzo lita 20?????[emoji144] [emoji144]lita 20 ndio... na hapo ndo pa kuanzia ukijiweza sana ata 30 sio mbaya
Wanajamvi,
Kwa yeyote anaefahamu namna ya kuweza kufuga afro, yenye nywele nyeusi, zilizonyooka na kusimama anisaidie please, mimi zangu huwa nikichana zinalala wakati mimi napenda zisimame na kuwa black.
Anaefahamu mafuta mazuri yanayofaa tuelekezane.