Mambo. Mimi ni msomaji wa kiswahili na nataka kujua vile watu wanaongea barabarani. Ni noma kusoma hii lugha kisanifu halafu kwenda nje kugundua kwamba inatumika tofauti kabisa. Kwa mfano maneno mengi hufupisha... kama hivi:
kutafuta inatamka "kutafta"
kushutaki inatamka "kushtaki"
Kwa kawaida inatamka "kwaida"
kusikia inatamka "kuskia"
Pia kuna mambo mengine ya kufupisha verbs.. kwa mfano baada ya kutaja maneno ya "kuweza" au "kuwahi" watu wakakata "ku" ijayo kama hivi "umeweza ona rafiki yangu?"
Watu wanaweza nisaidia namna zingine ya kufupisha hii lugha barabarani... ile ya kwa kawaida. Asanteni.