namna ya kuhack jamiiforums account

Ni-pm jina la hiyo app.
 
Ukini-hack nikakustukia na nikikufaham nikakutia mikononi nakutenganisha kichwa na kiwilkwili laa nikishindwa nakuloga.
 
Hebu ni hack mie tuone

Halafu we utakuwa mkurya tu
Maana matumiz ya l na r yanakuchanganya
 
hizo Software , kisado kimoja moja bei gani?
 
Vitu vya kushangaza kuhusu hii post
-majina yalivyotajwa ni burudani tosha hasa la rubii
-lugha iliyotumika ni majanga
-avatar
-Jinsi Jamiiforum ilivyoandikwa
Funga kazi ni maudhui ya post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…