namna ya kuhack jamiiforums account

huyu jamaa alinitisha mwanzo..nikasema kumbe convo zote ninazochat na rubii jamaa anazo..Ila nikagundua kumbe ni kalumanzila tu teh

Nilikuwa nimeanza kupata mwanga wa wapi pa kuanzia kwenye uchunguzi wangu wa safari ya Jumapili.

Aaah wapi!! ni wazee wa kitengo walikua wananiwinda

Dah, pole sana. Nimeiona hii nikakumbuka ule uzi.
 
ha ha haha kwa hiyo ukaona uanze na sisi mkuu we mtata badala ukawachungulie kina baresa upate maujuzi ya pesa ......umekuja huku utapofuka macho shauri yako aisee... ukipata ya kunipa madili ya watu wanavyoingiza mapesa niambie uniuzie aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…