Kidogo swali lako linachekesha kwa sababu unauliza namna ya kuhalali kitu kilichopatika kwa njia haramu kuwa halali! Jibu ni kuwa unatakiwa kuhakikisha kila kitu unachonunua kuwa ni halali na kina nyaraka zote. Hakuna short cut.Jf ndo kisima cha majibu, ndo Tanzania, ndo dunia. Hapajawai kuniangusha humu. Naomba mwaka huu wadau wenye masihara wafanye kubadilika. Kipindi cha kazi na umakin. Niulize hivi ukiuziwa gari ukaja kugundua nyaraka zake si halali na liliingizwa nchin kimakosa kama yale ya no pacha. TRA wanatoa mwanya gani ulihalalishe. Habar ya kumpata muuzaji fanya hakuna namna tena.
Kama sijaelewa hapa mwishonililiingizwa nchin kimakosa kama yale ya no pacha. TRA wanatoa mwanya gani ulihalalishe. Habar ya kumpata muuzaji fanya hakuna namna tena.
Iko hivi. Umenunua gari kwa mtu. Umetumia. Baadae ukagundua gari ulouziwa nyaraka zake si halali ni duplicate za gari ingine kama hiyo. Una gari si la wizi ila liliingia nchin njia za panya ukapigishwa. Na aliyekuuzia unagundua huwezi mpata tena. Bila hata kuhitaji kuhangaishana na serkali kusubir mkamatane unaweza kuilipiaje iwe halali? Au unaitupa?Kama sijaelewa hapa mwishoni
Gari la namna hiyo inamaana halipo kwenye taarifa za TRA. Kwahiyo ulilipata kwa njia isiyohalali na linaweza kuwa gari chafu likahusishwa na uhalifu. Makosa yake ni kukwepa kodi, kutakatisha gari (pesa), kuhusika katika genge la uhalifu. Adhabu yake ni uhujumu uchumi hakuna dhamana. Chakufanya kalitolee maelezo kituo cha polisi, hayo maelezo yatakupa uhalali wa kwenda TRA ili wakukadilie kodi ambayo utatakiwa kulipa.Jf ndo kisima cha majibu, ndo Tanzania, ndo dunia. Hapajawai kuniangusha humu. Naomba mwaka huu wadau wenye masihara wafanye kubadilika. Kipindi cha kazi na umakin. Niulize hivi ukiuziwa gari ukaja kugundua nyaraka zake si halali na liliingizwa nchin kimakosa kama yale ya no pacha. TRA wanatoa mwanya gani ulihalalishe. Habar ya kumpata muuzaji fanya hakuna namna tena.