Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

unamaaniaha hiyo vpn app ndo inakula 500 au ni matumizi yangu ndo yanatumia 500

inamaanisha naweza nika-stream video kibao ila yenyewe itatumia 500mb tu
Namaanisha app pekee ya vpn inakua zaidi ya 500 mb ili kufanya kazi.

Hizo ni Mbs tofauti kabisa na zile utakazotumia kwenye apps na updates nyingine.

Kama matumizi yako yalikuwa 1GB kwa wiki na ukapakua hiyo VPN basi minimum unatakiwa uwe na 1.5G kwa wiki.
 
A aah nn tena jmn mi nikijua iko kama vpn zingine kama freedom nk zenyewe hata kama huna mbs hata 1 wala salio unaaccess internet kumbe lazima uwe na mbs ktk laini je ukiconnect na lain ambayo haina salio je haiwezi kufunction!!?? I naomba mjibu kwa walio fanikiwa kuitumia na je kuna aliepata hizo siku 259 alizosema mleta uzi au ni poropoganda tu.
 
Jmn kuna aliefanikiwa kudukua na akapata hizi siku 299 free na kuhuru hizo browser alizoseama au hata ukitumia hizi za kawaida kama ucb au chrome au phonex haiwezi kufanya kazi vizur au ikoje hii wapendwa!??
 
Mkuu asante kwa maujanja haya japo cjapata ushuhuda kwa memba aliefanikiwa nauliza je ina kasi au ni kama konokono maana hivi vitu vya bure buana majanga kwwnye kasi.
 
Mkuu jibu basi maswali yetu tupe ushirikiano poa [emoji123][emoji123]
 
Sorry bro but hizo website huwa hazifanyi kazi no matter upo wp
 
hizi ni PROPAGANDA.. usiulize ni nani?ni yupi?
saa ngapi?ilikuaje?na nani?ili iweje?
hizi ni PROPAGANDA..
Kweli nmekubali hizi ni poropaganda kama mpaka mda huu hamna mtu aliefanikiwa kupata free kwa siku 299
 
Sidhani mkuu mimi binafsi nimeitumia sana vpn apps lakini hiyo data unayoitaja sidhani sijawahi kukatwa zaidi
 
Kwa wale wenye wasiwasi labda haitafanya kazi ushahidi huu hapa tena hapo nimepata siku 300 free
 
Hapo kwa Njia ya Email mzee sio kuhack Bali Unatumia Email Nyingine Tofaut na Yako ila kunambia ndo umedukua hapana nakataaaaaaaaa
Pia cha kuongezea nikwamba hii VPN uki Unistall Kama Email Uliyokuwa Unatumia Imemaliza siku zake Saba za Free Hafu ukasema Unistall ili uje u install uweke email Nyingine Inakataaa Itakwambia hii App ilikuwa ndani ya Simu hii tayar Tafadhari Weka Email yake ya kwanza hahahahahaha Hapo ndo mziki.... Asante kwa Uzi japo Sio Njia Ya Kudukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…