Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

Mimi Nimejaribu iwe VPN is on ngoma inakataa kuwa ON.Nilichogundua hiyo app mpaka uwe na MB ndo inafanyakazi yaani kuiwasha iwe ON.So MB zako zikikatika na hiyo app ikiwa on inafanya kazi vizuri ila mziki kuiseti iwe on ili ifanye kazi ndo utajua bangi ni mchicha au nyama.
 
Nimekuelewa ila bado sijajua hayo maelezo ni jinsi ya kuitumia App ya Express VPN bure au ni jinsi ya kutumia Internet Bure?
 
Nimekuelewa ila bado sijajua hayo maelezo ni jinsi ya kuitumia App ya Express VPN bure au ni jinsi ya kutumia Internet Bure?
Hata Mimi nilitaka kuuliza hili swali sasahivi umeniwahi ebu tumsubiri atakavyojibu.Nashika kitufe cha uninstall kwa VPN express mapemaaaa.
 
Msaada TUNNELBEAR Imefunga KABISA INTERNET na imegoma kufutika kwenye PC

- Nimegoogle usiku mzima bila mafanikio.

I'm out of ideas !
 
Sasa hiyo mida watu si wamelala au uko kw trump.

By the way yaani uki-uninstall kwa control panel inagoma?
Imegoma Mkuu, na kibaya zaidi IMEBLOCK Internet kabisa
 
Imegoma Mkuu, na kibaya zaidi IMEBLOCK Internet kabisa
Kama una flash yenye ubuntu fungua livecd halafu remove folder la tunnelbear kwenye program files.

Pia jaribu kuiblock tunnel bear coonection kwenye windows firewall pia kama utaweza uninstall TAP drivers.

Nikuulize swali, hata ukiirestart kompyuta bado tatizo linakuwepo na umeangalia tray icon kucheck kama tunnelbear ina auto start?

Kama kuna ujumbe unapata ungeweka pia image yake ili kupata urahisi kutatua tatizo.
 
hz huduma s za kudiscuss kwenye forum kama hz masnitch wapo kibao waxee
 
1. Unaweza tumia un installer kama revo ama iobit unaeka kwenye pc na zina force uninstall.

2. Jaribu ku boot kwa safe mode kisha itoe.

3. Jaribu ku troubleshoot network

4. Jaribu kureset adapter ya network
 
Inaleta Err ya DNS_PROBE_FINISHED

Kila nikisearch INTERNET. No CONNECTION
 
1. Unaweza tumia un installer kama revo ama iobit unaeka kwenye pc na zina force uninstall.
Hapana nadhani mpaka nipate FLUSH au CD yake maana NO INTERNET sitaweza kudownload

2. Jaribu ku boot kwa safe mode kisha itoe.
Nimeboot na re-boot weee bila MAFANIKIO

3. Jaribu ku troubleshoot network
Nikitroubleshoot kwa sasa inasema
DNS_PROBE_FINISHED mara hakuna tatizo, still NO INTERNET CONNECTION
4. Jaribu kureset adapter ya network
Nimereset lakini wapi na kibaya zaidi hawa TUNNELBEAR hawajibu E-MAIL na website yao haina majibu !!
 
Samahani wadau habari za muda huu?

Naomba mwenye uwelewa wa hii kitu inayoitwa VPN!

Hii kitu unakuwa unatumia internet free au ni nini?? Sielewi naskiaga tu vpn vpn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…