Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

Namna ya kuifanya biashara au huduma yako ifahamike zaidi kwa jamii hii hapa

mpitaji

Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
37
Reaction score
2
With advancement of technology, new way of marketing and exposing Business contacts and physical address has been discovered which use mobile phone as a medium. Tanzania Huduma Fasta mobile phone directory is the first product of its kind established in Tanzania by BR Solutions, for the purpose of helping individuals, corporate and SME’s to access business directory that provides contacts, services offered and physical address of Offices, professionals (e.g. Accountants, specialist doctors, Master of ceremonies etc), hotels, hospitals, restaurants, embassies, ATM, Banks, shopping centers, and so many others through mobile phones. The user will easy send a message beginning with a keyword Address (in English) or Anuani (in Swahili) followed by the name of company, institution, ATM or service needed and state the location to 15450.

Example
Address BR solutions Dar es Salaam and send to 15450. Or in Swahili Anuani Umoja Switch Atm Mwenge and send to 15450.


If you are a service provide you can contact the company through info@brsolutionstz.com or it@brsolutionstz.com for registration of your service or organization details to be accessed by the public

Sasa maisha ni rahisi kupitia simu za mkononi.
Nawasilisha, Kazi kwenu wadau.


 
This is not going to work my friend...kizazi hiki cha gui hakuna anayeweza kukariri hizo command. Bora mngefanya menu based kama mpesa. Lakini pia sijajua who are you targeting. By the way ile huduma yenu ya kutafuta nyumba za kupanga inaendeleaje?

BR solutions mna nguvu lakini nadhani business model yenu haijakaa vizuri. You need to consult
 
Nadhani command sio nyingi na imeanza kutumika kwa ufanisi. Tatizo kubwa ni awareness kwa watu na pia watoa huduma waweze kusajili huduma zao ili watumiaji waweze kuzipata pindi wanapouliza. Ushauri wako wa kutumia USSD ni mzuri lakini kuna mlolongo mkubwa wa menu kwenye hii huduma. USSD inafanya kazi vizuri zaidi kwa huduma ambayo haina mlolongo mkubwa wa maelezo na miongozo.

Huduma ya kutafuta nyumba za kupanga, kununua, viwanja, mashamba, na nyinginezo nyingi bado zinafanya kazi.
 
ni vipi kwa individual consultancy services?
 
Zungumzia gharama mleta mada. Kama kila kitu ni bure sema. Mfano, kuomba hizo taarifa ni bure? Kusajili biashara yako huko ni bure? Elezea kidogo.
 
any service provider provided that the service is legally authorized. hata mafundi ujenzi, mafundi DSTV, fundi mechanics, MC, catering services, fundi bomba, fundi umeme, proffesional doctors, wanasheria etc. wote hawa tunawakaribisha kujisajili na huduma hii ili jamii iweze kuwafikia kwa urahisi zaidi.
 
Ndugu Michael, gharama zipo ila ni kidogo. Ili huduma hii iweze kujiendesha, mtoa huduma (service provider) anapotaka kujisajili anatozwa sh 100,000/= kwa mwaka. kwa mtumiaji wa simu anapotaka kuulizia service husika kupitia simu atatozwa sh 250/= tu. kwa kampuni kubwa (corporate) na zenye matawi sehemu mbalimbali grarama hizi huweza kubadilika.
 
Ndugu Michael, gharama zipo ila ni kidogo. Ili huduma hii iweze kujiendesha, mtoa huduma (service provider) anapotaka kujisajili anatozwa sh 100,000/= kwa mwaka. kwa mtumiaji wa simu anapotaka kuulizia service husika kupitia simu atatozwa sh 250/= tu. kwa kampuni kubwa (corporate) na zenye matawi sehemu mbalimbali grarama hizi huweza kubadilika.[/QUOTE

mi natoa huduma ya umc so natakiwa nilipe 100,000/=?fanyeni 50 bana tuje wengi kwa wingi!
 
Back
Top Bottom