Namna ya kuikuza biashara yako kimataifa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna biashara nyingi zinakuwa hazivuki mpaka, kwenda kuuzika kwenye nchi zingine. Hii inawezekana labda ni kutokana na kutokujua pa kuanzia.

Lakini kama nia ipo, ya kupeleka bidhaa yako nchi za mbali n.k na kufanya kampuni/biashara yako kuwa ya kimataifa, ni vizuri kufahamiana na watu mbalimbali huko ulimwenguni.

Nitaongelea kwa wale wanaozalisha na kuuza ' 'make and sell' na sio ile ya uchuuzi 'buy and sell'

Mfano: Labda biashara yako ni kutengeneza mabegi na kuuza

Fanya yafuatayo:-[/JUSTIFY]
  • Sajili jina la biashara yako​
  • Kuwa na leseni​
  • Uzalishaji uonekane
  • Fungua 'website' ya biashara yako
  • 'Domain' ya 'email' yako iwe ya kampuni yako
  • Ingia mitandao mbalimbali, tafuta 'Business partner'
  • Ainisha washirika wa biashara unaowaitaji kutoka nchi mbalimbali/ pia ushiriki wao uwe kwenye nini; mfano labda masoko au ufungue tawi huko aliko n.k
  • Jadili na watakaojitokeza
  • Funga mkataba na muanze kazi
 
Uzi kama hizi wasomi magumashi wa JF wanajifanya hawataki kuchangia. Ila zile nyuzi zako za mademu vibonge ungekuta wanachangia mpaka siro zao za ndani. .

UI mzuri sana. Good work brother. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…