Namna ya kuishinda Cape Verde nyumbani

Namna ya kuishinda Cape Verde nyumbani

Wachezaji vichwa vigumu hao hawawezi hata kushinda.

Ona jana Kenya kampa mtu 3 nyumbani baada ya Draw ugenini.
 
Amunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
Hats na Cape Verde kwao alianza na list iliyocheza na Uganda kasoro Domayo ambae ni majeruhi
 
Yafungwe tu hamna kitu yatutolea kelele ili tufocus katika mipira ya mambele maana hakuna mipango mikakati ya kuendelea
 
Amunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
We nawe....!!Uliangalia Last game kweli??Wachezaji walikua walewale na mfumo uleule isipokua Domayo aliye majeruhi alimpisha Himid.Hata aitwe nani hao Jamaa hatuwashindi nakuambia
 
Amunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
Kwani kikosi tulichopigwa Tatu Cape Verde na Cha Uganda tofauti ni nani!!?? Ukiondoa tu sehemu ya FRANK Domayo "chumvi" ambaye ni majeruhi akacheza Himid Mao "Ninja".... Usitafute pa kujificha kwenye shamba la dengu... Kama Kuna mchezaji aliyecheza Uganda na hakucheza Cape Verde tofauti na Frank Domayo kwenye kikosi kilichoanza mtaje hapa
 
Back
Top Bottom