Ili tupate sare tena auAmunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
Ikoje hiyo list?Amunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
Itatusaidia tutafikisha point 5 tutampita Cape.Yeye atabaki na point 4Tukishinda nyumbani itatusaidia nini?
Tukishinda nyumbani itatusaidia nini?
Itatusaidia sana, tutagain momentum ya kuqualify AFCON 2019Tukishinda nyumbani itatusaidia nini?
Hats na Cape Verde kwao alianza na list iliyocheza na Uganda kasoro Domayo ambae ni majeruhiAmunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
We nawe....!!Uliangalia Last game kweli??Wachezaji walikua walewale na mfumo uleule isipokua Domayo aliye majeruhi alimpisha Himid.Hata aitwe nani hao Jamaa hatuwashindi nakuambiaAmunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
Kwani kikosi tulichopigwa Tatu Cape Verde na Cha Uganda tofauti ni nani!!?? Ukiondoa tu sehemu ya FRANK Domayo "chumvi" ambaye ni majeruhi akacheza Himid Mao "Ninja".... Usitafute pa kujificha kwenye shamba la dengu... Kama Kuna mchezaji aliyecheza Uganda na hakucheza Cape Verde tofauti na Frank Domayo kwenye kikosi kilichoanza mtaje hapaAmunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.