Siku zote kwenye interview "it's not about you its about them " wasifie uwezavyo... negative answers will always disqualify you! Kubwa kuliko yote "Don't and never kujaribu kuopondea sehemu ulizo wai kufanya kazi huko nyuma" Hasa ukiwa kwenye interview. Hata kama ulifukuzwa kwa figisu , umbea, roho mbaya... usi anze kuwa ponda past co-workers wako kwenye interview " oooh team leader wangu alikua na roho mbaya, mara manager alikua hataki kuniona mara ana nifatilia mno, supervisor wangu aliniundia njama " aisee ukisha sema haya tayari ume kwisha... keep it positive always!