Namna ya kujibu maswali 25 kwenye Oral Interview

Thnkx much
 
No.1 inanichanganya akili ktk Google yangu sehemu moja ilikataza kutoa historia yangu just tu kueleze mi ni wa aina gani MF ni mtu ninayejielewa ninaweza kufanya kazi zangu vizuri ninajiamini nk. Ya 2 iliniambia elezea simple history yako sasa still now I'm in confusion
 
kila mtu anasifia, acheni ujinga wa kukariri kwahiyo interview mtaenda kujibu hivyo?

1. rais wa kwanza ni nani....J.K Nyerere
2. unaitwa nani??....J.K Nyerere
3. Unaishi Wapi...J.K Nyerere

swali tofauti lakini kila mtu anakuja na jibu lake la kukariri
 
Unaongea pumba! Kichiz rafiki angu, ni bora ungekaa kimya siyo kila thread lazima uchangie
 
Unaongea pumba! Kichiz rafiki angu, ni bora ungekaa kimya siyo kila thread lazima uchangie
watu kama sisi tupo duniani kote kwahiyo kulikuwa hakuna ulazima wa kureply kama ulikuwa unalitambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…