Mkuu cyo masihara hayaChizoba chizobaaaaaaa!!!! Chizobaa chizobaaaa .......bado nasikiliza chizoba ya p square, nitarudi mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekuelewaVitu vnavohtajika ili upate line n TIN namba na leseni unapeleka kwa wakala mkuu wa wilaya yako was mtandao husika
Au ununue kwa MTU hapa tafuta MTU mwamnifu matapeli wengi skuhz
Faida inategemea mzunguko wa wateja ktk biashara yako
Hasara inatikiwa uwe makini ktk kupokea pesa kuna matapeli wanaweza kuja na michezo michafu,uwe makini unapotuma miamala pia vingine wadau wataongezea.