Namna ya kujua Supplier fake ununuapo Online kama Alibaba

nyamwingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
944
Reaction score
872
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa.

Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp zikipita jumbe nyingi zikitahadharisha wizi uliopo huko China kwa manunuzi ya online.

Sasa kabla sijaibiwa naomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.

Karibuni wakuu.
 
Karibuni wakuu
Unatimba pal ubalozi wa China wanakuhabarisha chap! au unapewa list ya trusted suppliers.
 
naomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.
#1. Hakubali wewe utumie njia rasmi ya malipo iliyowekwa na kukubalika alibaba - Yeye atapendekeza njia ya malipo kama MoneyGram au western Union. Kwamwe usikubali kutuma fedha kwa njia isiyo rasmi

#2. Angalia Muuzaji ana muda gani alibaba na je rating yake iko vipi.

#3.
 
Shukran Sana Mwl.RCT
Pale kwenye rates wengine hakuna au hazionekani inakuwaje pia.
Kuanzia miaka mingapi anakuwa trusted?
 
Vivi wale supplier ambao sio verified?
 
Kuna muuzaji kanipiga bidhaa za 600k [emoji19][emoji22]
 
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa.

Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp zikipita jumbe nyingi zikitahadharisha wizi uliopo huko China kwa manunuzi ya online.

Sasa kabla sijaibiwa naomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.

Karibuni wakuu.
Zamani ndo kulikuwa na Matapeli wa Ki Nigeria ila walikuja wakasafisha siku hizi sio rahisi uwe tapeli upate acount kule.
 
Unatimba pal ubalozi wa China wanakuhabarisha chap! au unapewa list ya trusted suppliers.
Sio lazima, watu wana fanya manunuzi tu mbona? Shida labda Quality make picha ya profile na unacgo tumiwa saa zingine huwa tofauti
 
Back
Top Bottom