Unatimba pal ubalozi wa China wanakuhabarisha chap! au unapewa list ya trusted suppliers.Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa.
Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp zikipita jumbe nyingi zikitahadharisha wizi uliopo huko China kwa manunuzi ya online.
Sasa kabla sijaibiwa naomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.
Karibuni wakuu
#1. Hakubali wewe utumie njia rasmi ya malipo iliyowekwa na kukubalika alibaba - Yeye atapendekeza njia ya malipo kama MoneyGram au western Union. Kwamwe usikubali kutuma fedha kwa njia isiyo rasminaomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.
Shukran Sana Mwl.RCT#1. Hakubali wewe utumie njia rasmi ya malipo iliyowekwa na kukubalika alibaba - Yeye atapendekeza njia ya malipo kama MoneyGram au western Union. Kwamwe usikubali kutuma fedha kwa njia isiyo rasmi
#2. Angalia Muuzaji ana muda gani alibaba na je rating yake iko vipi.
#3.
Nipo kwa ajili ya kujifunza muuKaribu utupe experience yako mkuu
Kikuu kwa bidhaa feki hawana mpinzaniKikuu waaminifu.tho baadhi ya vitu vyao ni feki eg saa vingine viko poa.
Zamani ndo kulikuwa na Matapeli wa Ki Nigeria ila walikuja wakasafisha siku hizi sio rahisi uwe tapeli upate acount kule.Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa.
Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp zikipita jumbe nyingi zikitahadharisha wizi uliopo huko China kwa manunuzi ya online.
Sasa kabla sijaibiwa naomba kujua mabombo muhimu ya kuzingatia ili kujua kuwa supplier ni Genuine au fake.
Karibuni wakuu.
Sio lazima, watu wana fanya manunuzi tu mbona? Shida labda Quality make picha ya profile na unacgo tumiwa saa zingine huwa tofautiUnatimba pal ubalozi wa China wanakuhabarisha chap! au unapewa list ya trusted suppliers.