Namna ya kukaanga yai kitaalamu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
MAHITAJI
1.
Mayai matatu makubwa
2. Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula
3. Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo
4. Chumvi kidogo
5. Siagi
6. Mafuta ya kupikia

MAPISHI
1.
Pasua mayai tia katika bakuli, tia humo chumvi, manga, na maji ya uvuguvugu
2. Katika moto wa wastani weka kikaango jikoni, tia humo siagi na mafuta ya kupikia kiasi, acha yachemke kiasi
3. Mwagia rojo la yai humo tandaza vizuri
4. Yai likishaiva upande wa chini, pindua upande mwingine ivisha kisha toa yai kutoka kwenye kikaango
5. Acha yai lipoe

Andaa mikate na chai ya maziwa na yai kisha jenga mwili

 
Maji ya vuguvugu ya nini mkuu?

Yanaongeza protini au?
 
Duh kumbe yai linaekwa na maji pia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…