Namna ya kukabiliana na baridi kwa mifugo

bukumba

New Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
3
Reaction score
4
Ndugu zangu naomba msaada wenu,ninataka kuanza safari ya ufugaji wa mbuzi wa kienyeji hawa kama dodoma white,Singida white na Isiolo.

Nataka kufugia wilaya ya kilolo na sasa nataka wajuzi mnisaidie namna ya ujenzi wa banda ili kukabiliana na baridi kwa mifugo yangu.

Asante.
 
Maeneo ya baridi kwa kweli mbuzi hawafanyi vizuri na basi kulazimisha, mbuzi wanapenda sana joto ni tofauti na Ng'ombe ambao wanapenda baridi, Sasa hata ukijenga banda la kuzuia baridi still watakutana na baridi nje, Tafuta maeneo ya Joto kama Morogoro, Dodoma au Pwani ufugie huko
 
Nimepokea ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom