Maeneo ya baridi kwa kweli mbuzi hawafanyi vizuri na basi kulazimisha, mbuzi wanapenda sana joto ni tofauti na Ng'ombe ambao wanapenda baridi, Sasa hata ukijenga banda la kuzuia baridi still watakutana na baridi nje, Tafuta maeneo ya Joto kama Morogoro, Dodoma au Pwani ufugie huko