Suluhisho ni nyinyi kujenga fensi kabla yake yeye si ameshamaliza kujenga kwenye eneo lake sasa ajenge fensi ya nini au mnajishtukia kwamba ataanza kuingia na kujenga kwenye viwanja vyenu? Km mnafikiri hivyo basi muuzieni viwanja vyenu hameni hapo mumuache aishi mwenyeweChangamoto iliyojitokeza ni kwamba alitokea bwana mmoja akawahi kujenga nyumba yake.Tatizo ameisogeza mpakani kiasi kwamba akijenga fensi inakuwa kwenye kiwanja cha jirani yangu.
Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kaziSuluhisho ni nyinyi kujenga fensi kabla yake yeye si ameshamaliza kujenga kwenye eneo lake sasa ajenge fensi ya nini au mnajishtukia kwamba ataanza kuingia na kujenga kwenye viwanja vyenu? Km mnafikiri hivyo basi muuzieni viwanja vyenu hameni hapo mumuache aishi mwenyewe
Iko hivi,kuna uwezekano mkubwa huyu jamaa amefanya hivyo kwa makusudi!Kwa sababu hata upande wake mawe yaliyowekwa na aridhi alishayatoa.Tumejikuta tuna fika hadi hapo kwake kwa kutumia mawe yaliyo kwenye viwanja vyetu.Kilichonishtua ni kwamba aliwahi nitumia meseji akidai anafikiria atuhamishie eneo lingine ambapo yeye anamiliki viwanja huko.Tatizo lililopo hatujaafiki kwa sababu hakutushirikisha mapema!Watu wa ardhi hawaelewi kivipi huyo jamaa nae anashangaa? Au bado ana msimamo wa kuendeleza sehemu isyokua yake fafanua vyema
Suluhisho ni moja hao watu wa ardhi wawaite pamoja mkiwa na hati zenu zifanyiwe reviewIko hivi,kuna uwezekano mkubwa huyu jamaa amefanya hivyo kwa makusudi!Kwa sababu hata upande wake mawe yaliyowekwa na aridhi alishayatoa.Tumejikuta tuna fika hadi hapo kwake kwa kutumia mawe yaliyo kwenye viwanja vyetu.Kilichonishtua ni kwamba aliwahi nitumia meseji akidai anafikiria atuhamishie eneo lingine ambapo yeye anamiliki viwanja huko.Tatizo lililopo hatujaafiki kwa sababu hakutushirikisha mapema!